Kweli jomba? Au nawewe ndo vile?
poti mm niko tarime nikweli unachokisema ni chakweli maana tumechoka maisha ya kitaa
hata sisi pre form six tumechokaaa tunawasubir wadogo zetu ckul waje watufanyie usafi wa madom
hata sisi pre form six tumechokaaa tunawasubir wadogo zetu ckul waje watufanyie usafi wa madom
Kwa wale wanafunzi wanaotarajia kwenda kidato cha tano mwezi huu.wajiandae kwani muda wowote kuanzia sasa post zao zitakuwa hewani na watatakiwa kuripoti shuleni mapema kwa mujib wa wachunguzi wa mambo wamebaini kuwa wakuu wa shule mbalmbal waliokuwa wamekusanyika ktk jengo la arusha technical jjn arusha kwa ajil ya kuchagua wanafunz wametawanyika kuashiria kuwa zoezi la upangaji wa shule limekamilika hivyo muda wwt kuanzia sasa tutarajie posts
HAHAHAHAHAHA UMEPOTEA JICHANGANYE TUKUBEBE KAWAMBWA AMESHATURUGA KWA HIYO USIJEJUTIA TUTAKUVURUGA MPAKA 6 UPIGE round about[ 0 ]
mpe makavu huyo,, hahah
mimi nimesha yaona..na nimejua nilipo pangiwa...
umepangiwa shule gani kaka?