Pre form 5 wajiandae

Pre form 5 wajiandae

Status
Not open for further replies.

Joe kim

Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
6
Reaction score
1
Kwa wale wanafunzi wanaotarajia kwenda kidato cha tano mwezi huu.wajiandae kwani muda wowote kuanzia sasa post zao zitakuwa hewani na watatakiwa kuripoti shuleni mapema kwa mujib wa wachunguzi wa mambo wamebaini kuwa wakuu wa shule mbalmbal waliokuwa wamekusanyika ktk jengo la arusha technical jjn arusha kwa ajil ya kuchagua wanafunz wametawanyika kuashiria kuwa zoezi la upangaji wa shule limekamilika hivyo muda wwt kuanzia sasa tutarajie posts
 
Watu wanhangaika kinoma.....simtulie msubori serikali tukufu ya CCM itakacho kifanya kwenye hii Tasnia Ya elimu???
 
hata sisi pre form six tumechokaaa tunawasubir wadogo zetu ckul waje watufanyie usafi wa madom
 
HAHAHAHAHAHA UMEPOTEA JICHANGANYE TUKUBEBE KAWAMBWA AMESHATURUGA KWA HIYO USIJEJUTIA TUTAKUVURUGA MPAKA 6 UPIGE round about[ 0 ]
 
Kwa wale wanafunzi wanaotarajia kwenda kidato cha tano mwezi huu.wajiandae kwani muda wowote kuanzia sasa post zao zitakuwa hewani na watatakiwa kuripoti shuleni mapema kwa mujib wa wachunguzi wa mambo wamebaini kuwa wakuu wa shule mbalmbal waliokuwa wamekusanyika ktk jengo la arusha technical jjn arusha kwa ajil ya kuchagua wanafunz wametawanyika kuashiria kuwa zoezi la upangaji wa shule limekamilika hivyo muda wwt kuanzia sasa tutarajie posts

itabidi mwaka 2015 tucheleweshwe kufanya Mtihani kam hivi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom