Malezi na makuzi ya Mtoto yaani early childhood Education ni elimu mtambuka ..kwa ufupi wafuatao wanapaswa kupa elimu hii
1. Dada wa kazi wa kaka wa kazi anayekaa na watoto wako kwa muda mrefu wakati wazazi wako kazini
2. Mama na Baba wa mtoto
3. Walezi
4. Walimu wa mafundisho ya kidini
Nk
Baadhi ya vyuo vinatoa elimu hii , ya muda mrefu na muda mfup.