mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
ni zamani sana miaka inakimbiaUlisoma huu mfumo wa baby class, kindergarten 1, then Kindergarten 2? Ndo ukaenda Class 1,? 😥😥 Uwe unaniita Bibi Shenzi wew
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni zamani sana miaka inakimbiaUlisoma huu mfumo wa baby class, kindergarten 1, then Kindergarten 2? Ndo ukaenda Class 1,? 😥😥 Uwe unaniita Bibi Shenzi wew
Tatizo watu wanachukulia early childhood development kimzaha, kumbe ndio makuzi ya mtoto huanzia huko. Kindergarten sio kujifunza kusoma na kuandika tu la, kuna mambo mengi ya kujifunza huko.Ukiacha kujifunza "what is your name"Kama ulivyosema lkn pia mtoto anajifunza kusocialize na watoto wenzie pia michezo mbalimbali. Maana huwezi kuwa na kila kitu anachohitaji mtoto nyumbani.
Halafu walimu ni professional katika kufundisha watoto lkn sio kila mzazi ni mwalimu.
Kijijini nilipo mtoto chekechea mwaka mmoja, lifuatalo ni darasa la kwanza mambo yanasonga. Na watoto mpaka la kwanza linaisha anajua kusoma na kuandikaWatafiti tusaidieni hi miaka mitatu ya baby prep 1 prep 2 inao tumika na shule nyingi za mjini hususani private zenye gharama kubwa mpaka 1m kwa mtoto kuanzia 3- 6yrs kuanzia miaka ya 90s imeleta matokeo chanya katika makuzi na malezi ya watoto wetu ukiangalia performance ya hao watoto au ni kuongeza mzigo na umasikini kwa mzazi?
Kuanzia miaka ya 80s kurudi nyuma hayo madarasa ya prep hayakuepo mtoto alivokua na miaka 5 au sita alianza darasa la kwanza, au akianza kung"oa meno ya mbele au kushika sikio lake kwa kupitisha mkono, alianzishwa shule, kwa sasa hao wengi ndo wana siasa wetu na watumushi wa ummah walio wengi.
Suali langu je ukili nganisha utendaji wao hao ambao hawakusoma chekechea na hawa wahitimu wa miaka kuanzia 2000 kuna tofauti? Yupi ni imara zaidi?
Nisihukumiwe vibaya kwamba madarasa ya chekechea hayana umuhimu ila yanachosha wazazi kusomesha nakutumia pesa nyingi kama haina mchango bora mtoto anze darasa la kwanza moja kwa moja hizo pesa ununue kiwanja uanze maisha mdogo mdogo kuliko kipanga nyumba ya 1.2m kwa mwaka na ada ya chekechea ni 1 2m kwa mwaka wastage of resources.
Ila, wengi mijini wanalazimika kupeleka watoto shule mapema pia sababu ya changamoto za malezi. Baba na mama..au kama ilivyo siku hizi mama(single) wapo busy anaona bora tu mtoto aende shule kwaajili ya company, mtoto asikae tu nyumbani na mdada wa kazi na tvKi vip tupe msaada wa hayo madarasa kwa jamii yetu ya Tanzania isije ikawa kwamba boda boda au madalali walio shamiri wengi wasasa ni wahitimu wa hayo madarasa na hazi yao kwa sasa ndo hiyo
Kabisa yaani. Yaani mtoto uwe nae ww tu ndani, si atakuwa wa hovyooTatizo watu wanachukulia early childhood development kimzaha, kumbe ndio makuzi ya mtoto huanzia huko. Kindergarten sio kujifunza kusoma na kuandika tu la, kuna mambo mengi ya kujifunza huko.
Wengine tumelipiwa kwa minded Sh 20 ada secondary mwaka mzima!Umenikumbusha 200 ya noti
Tulikua tunalipa 200 kila wiki kwa ajiri ya uji na karo
Ilikuwa kinyume cha haki za mtoto hasa huko.vijijiniZamani nani alikua analea watoto wao, hizi shule za chekechea hata vijijini mawilayani zipo ambao hamna haja ya kulea watoto.
Kwani nyumbani hakuna watu wa ku socialize nao, socialisation haina mwisho popote mtoto ana socialise hata kwenye public parks social function sehemu za ibaada sherehe za nyumbani, kwanini nilipie 1.2m kwa socializong tu.Ukiacha kujifunza "what is your name"Kama ulivyosema lkn pia mtoto anajifunza kusocialize na watoto wenzie pia michezo mbalimbali. Maana huwezi kuwa na kila kitu anachohitaji mtoto nyumbani.
Halafu walimu ni professional katika kufundisha watoto lkn sio kila mzazi ni mwalimu.
Na hao watoto ambao wamelelewa na wazazi mama na baba, wakianza shule ni more guineas kuliko hao wa baby class atakiakili za kupamnana na maisha ni wazuri kuliko hawa wa whats your names.....Kwa upande mwingine wanasema ukichagua kufanya mambo bila hekima then jiandae kulipa gharama kubwa.
Hili la kulipia watoto baby class kwa gharama kubwa ni matokeo ya wazazi wasio na utashi wa kulea watoto wao wenyewe kuwaachia wengine jambo ambalo si la hekima. Mtoto kuanzia 0 hadi uzee analelewa na baba na mama yake na katika miaka hiyo ya awali ya kati ya 0 hadi 18 mtoto anatakiwa kuwa karibu zaidi na baba na mama yake kwenye malezi kwa
Yapi hao ambao nyumbani hayapatikani?Tatizo watu wanachukulia early childhood development kimzaha, kumbe ndio makuzi ya mtoto huanzia huko. Kindergarten sio kujifunza kusoma na kuandika tu la, kuna mambo mengi ya kujifunza huko.
Unataka kusema pre primary ni kwa ajili ya ma singo maza kupata company kwa watoto wao?Ila, wengi mijini wanalazimika kupeleka watoto shule mapema pia sababu ya changamoto za malezi. Baba na mama..au kama ilivyo siku hizi mama(single) wapo busy anaona bora tu mtoto aende shule kwaajili ya company, mtoto asikae tu nyumbani na mdada wa kazi na tv
Wakwangu wanafundishwa nyumbani na mama yao mpaka miaka 5 ndo wana enda shule bahati nzuri mke wangu ana ujuzi wa ualimu ila sotaki ajiliwe kwahiyo mda wake yeye na watoto wake, nafanya saving kubwa, gharama ya pre- primary sio rafiki kwa wage earners.Mimi nilifundishwa kusoma, kuandika, kuhesabu nyumbani nikiwa na Miaka mitano tuu nilikuwa nimeshajua kusoma na kuandika na kuhesabu.
Alafu kufundisha Mtoto haichukui hata Lisaa limoja. Ukitenga kîla Siku Lisaa limoja la kumfundisha, Kwa Ratiba maalumu Mtoto anakuwa Vizuri.
Binafsi nitafundisha Watoto wà ngu mwenyewe hasa zile basic knowledge.
Labda itokee Dharura kama Kifo au Mama zà o wawanyang'anye Kutoka kwangu Kwa maana pia siwezi kung'ang'ania Mtoto na Mwanamke aliyezaa Kwa uchungu
😂 usinichonganishe, ila watoto wengi wa wazazi mmoja wasio na support ya ndugu (wazazi, ndugu wengine) na mzazi huyu huyo ndio anaweka mkate mezani, hupeleka watoto wao shule mapema zaidi kuliko watoto wa wazazi wawiliUnataka kusema pre primary ni kwa ajili ya ma singo maza kupata company kwa watoto wao?
Tumekuelewa mimi watoto wangu wana mama wa nyumbani graduate tena katika fani ya ualimu siwezi kupoteza 1m kwa ajili ya baby class, wakati sio singo maza wanao tafuta kapani ya watoto wengine, teaching/learning aid zote zipo nyumbani kuna extra reading room hufanya kama class room.[emoji23] usinichonganishe, ila watoto wengi wa wazazi mmoja wasio na support ya ndugu (wazazi, ndugu wengine) na mzazi huyu huyo ndio anaweka mkate mezani, hupeleka watoto wao shule mapema zaidi kuliko watoto wa wazazi wawili
Ningesema kitu kingine ila mtanichoma moto na mifano kedekede to prove me wrong. Niishie hapa.
Hawana mda kulea na pesa hawana bado wansishi kwenye nyumba za kupanga nyumba, kwahiyo ubizy wao hauna faida.Now days people are very busy
Ukilijua hili utajua kuhusu hiyo inaitwa Vidudu.
Mtoto anayepelekwa shule at 2 yrs nyuma yake ni kuwa wazazi hawana muda wa kulea.