Sasa wewe upo matombo milimani utaonea wapi, njoo Uturuki huku.Hii game ilikuwa ya kimya kimya.
Ila angefungwa mtu basi tusingejua kabisa kuwa leo mechi ya kirafiki ilichezeka.
Kule kuna Sakho huku kuna Okrah katikati kuna Phiri na Manzoki.. Lazima msako utembee vilivyo.
Wewe ndo usingejua, lakini Wanamsimbazi na Wadau wangejua kwasababu ratiba ilishatoka kabla ya mchezo huu kuwa Simba SC atakuwa na Mechi ya Kirafiki na Ismailia SCHii game ilikuwa ya kimya kimya.
Ila angefungwa mtu basi tusingejua kabisa kuwa leo mechi ya kirafiki ilichezeka.
Yaani safari hii Simba SC ni mwendo wa ngiri tu meno nje, hapo ni kucheki tu mitambo.Sasa msako dhidi ya kikosi cha pili cha Ismaily SC...?
Mtani mbona unachekesha sasa[emoji23][emoji23]
Utopinywo mmoja alisikika akiwa amelewaSasa msako dhidi ya kikosi cha pili cha Ismaily SC...?
Mtani mbona unachekesha sasa[emoji23][emoji23]
Ni mechi nzuri ya kirafiki na ibaki hivyo ni ya kirafiki,ni mazoezi tu, timu zote mbili hazikucheza kwenye kiwango cha kimashindano, ismaily imecheza jana mechi ya ligi yao,na simba ni timu mpya na kocha mpya.Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba SC, leo Julai 17, 2022 imecheza mchezo wake wa kwanza wa Kimataifa wa kirafiki (International Friendly Match) dhidi ya Ismailia SC ambayo inashiriki Ligi Kuu nchini Misri ambapo mchezo huo umekwisha kwa sare ya kufungana bao moja kwa moja, bao la Simba SC likiwekwa kimiani na Nyota Augustine Okrah.
FT: Ismailia SC 1-1 Simba SCView attachment 2294533View attachment 2294534
Usichukuliwe kiukubwa kwasababu gani..! Kwani hii si Pre Season..!Ni mechi nzuri ya kirafiki na ibaki hivyo ni ya kirafiki,ni mazoezi tu, timu zote mbili hazikucheza kwenye kiwango cha kimashindano, ismaily imecheza jana mechi ya ligi yao,na simba ni timu mpya na kocha mpya.
Hivyo isichukuliwe kiukuuuubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaumia ukiwa Matombo sehemu gani?Hii game ilikuwa ya kimya kimya.
Ila angefungwa mtu basi tusingejua kabisa kuwa leo mechi ya kirafiki ilichezeka.
Muue huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaumia ukiwa Matombo sehemu gani?
Baada ya kufika Misri katika mji wa Ismailia ambao wameaweka Kambi, ratiba ilishatoka kwa Simba kuwa kutakuwa na game dhidi Ismailia SC.Ubaya Wa Mechi Hizi Unaweza Kuta Aliyefunga Goli Ni Bocco Lakini Sifa Anapewa Mwingine ilimradi Tu [emoji23], Au Inaweza Kuwa Mtu Kapigwa Tatu Bila ila Ndo Ivo Tena Kwakuwa Watu Hawajaona Ni Mwendo Wa Kupigwa Kamba Tu Mitandaoni, Kwanini Wasitangaze Kabla Kama Watacheza Mechi? [emoji23]