Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa utopwiseee ni wa kuwahurumia tyuuh, wameshavurugwaa, shangwe zote za kumpokea DOMOLEPE zimeyeyuka yeyuuuuuuu.Muue huyo[emoji23]
Teh teh teh halafu kumbe wamecheza na under 20
Hapana Mkuu wamecheza na madereva taxTeh teh teh halafu kumbe wamecheza na under 20
Zimeyuka kwa sababu gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa utopwiseee ni wa kuwahurumia tyuuh, wameshavurugwaa, shangwe zote za kumpokea DOMOLEPE zimeyeyuka yeyuuuuuuu.
Byuti byuti.
Safari ya MatomboZimeyuka kwa sababu gani?
Shida yetu Watanzania iko hapo, kwenye pre season unapofanya training lazima uanze kujipima na timu dhaifu.Okrah ameanza kufungua kitabu Cha magoli mechi ya kirafiki na Ismailia yenye wachezaji ambao waliachwa baada ya wachezaji nguli kusafiri na timu kwenye mechi ya ligi. Hii mechi sio kipimo kizuri kwa mchezaji ambae anatarajiwa kwenda kucheza mashindano ya Caf muda mchache ujao, hata kama timu yetu imetoka nayo sare ya 1-1.
Simba walipaswa kuishindilia magoli 4 hadi 6 ingekuwa afadhali
Hata hayo matokeo ninawasiwasi nayoHii game ilikuwa ya kimya kimya.
Ila angefungwa mtu basi tusingejua kabisa kuwa leo mechi ya kirafiki ilichezeka.
Yaani kama hajakuelewa hapo basi tena. Wao wanaiangalia PRE-SEASON kwa mtazamo mingine kabisa.Shida yetu Watanzania iko hapo, kwenye pre season unapofanya training lazima uanze kujipima na timu dhaifu.
Simba na kocha wao wapo sahihi kucheza na timu dhaifu, huwezi kuugusa mziki wa Ally ahaly au Zamaleki mapema, timu za ushindani unajipima nazo mwishoni.
Mechi za awali huwa matokeo hayana maana yoyote kwa kocha ndio maana kuna mechi hazihitaji watazamaji wala kutangaziwa wenye timu yenu.