muhweza
JF-Expert Member
- Feb 22, 2022
- 986
- 1,394
Dada Joyce aliwachuna hela zoteKama unaona tumefaidi nawe nenda Misri kacheze nako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada Joyce aliwachuna hela zoteKama unaona tumefaidi nawe nenda Misri kacheze nako
Wamekanusha wapi?Hii timu wamekanusha haya matokeo, wanasema hawajacheza na Simba. Sasa nyie mmeyapata wapi?
Tatizo nauli, chakula na sehemu ya kulala, huku matombo ndizi na maparachichi 200 tu unashiba.Kama unaona tumefaidi nawe nenda Misri kacheze nako
Tatizo huyu wa kimbiji sawa na kagera sugar tuMisri Misri.....! Habari Za Misri zimetushosha..... !
Tunaomba Na Za KIMBIJI..!!
Hayo maelekezo yanazidi yale ya Zidane kwa Pablo? Tena Pablo alikuwa anapokea maelekezo live wakati match inaendelea.View attachment 2301622
.
FT: SIMBA SC 6-0 AL AKHDOOD
[emoji460]️ Phiri [emoji2402] Chama
[emoji460]️ Mkude [emoji2402] Okrah
[emoji460]️ Kagere [emoji2402] Banda
[emoji460]️[emoji460]️ Sakho
[emoji460]️ Nyoni
My Take
Sakho kuna maelekezo kapewa na Sadio Mane. Tusije kulaumiana
Msianze kulialia bahasha za GSM.Sasa ligi ianze tupo tayari
Ungemalizia kabisa kua mmecheza na timu inayoshiriki daraja LA piliView attachment 2301622
.
FT: SIMBA SC 6-0 AL AKHDOOD
[emoji460]️ Phiri [emoji2402] Chama
[emoji460]️ Mkude [emoji2402] Okrah
[emoji460]️ Kagere [emoji2402] Banda
[emoji460]️[emoji460]️ Sakho
[emoji460]️ Nyoni
My Take
Sakho kuna maelekezo kapewa na Sadio Mane. Tusije kulaumiana
Kwenye ligi yetu bahasha zipo sana tu kwenye hivi vilabu viwili.Msianze kulialia bahasha za GSM.