Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Watu wa Soka,
Tumechagua Jiji la Arusha liwe kambi yetu maalum kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23 (Pre-Season).
Arusha patatufaa sana kwa sababu ni Jiji Tulivu, Hali ya Hewa nzuri, pia mazingira yake yanavutia, hivyo itasaidia wachezaji wetu kuwa focused.
Timu itaweka kambi kwa mwezi mmoja na tutaangalia uwezekano wa kucheza mechi za kirafiki na timu kadhaa za jijini humo au tutakazozitangaza baadae.
Hodi Arusha - The Geneva of Afrika!