Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Mmepanda daraja kwa mbwembwe hata lipuli walikujaga hivyo hivyo, ndanda Fc, mbeya kwanza, Cha msingi komaeni mechi zote msije mkakomaa kwa Simba na yanga pekee wengine wakajipigia
Mlukutana kila mmoja akiwa na mechi kigoma 😂😂Kigoma tulikua wote pale smart lodge karibuni arusha
At least wanaonekana kusajili wazoefu wengi. Kila la kheri kwao...Mmepanda daraja kwa mbwembwe hata lipuli walikujaga hivyo hivyo, ndanda Fc, mbeya kwanza, Cha msingi komaeni mechi zote msije mkakomaa kwa Simba na yanga pekee wengine wakajipigia
At least wanaonekana kusajili wazoefu wengi. Kila la kheri kwao...