Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Inter Milan jana kacheza mechi ya kirafiki na timu ambayo haichezi Daraja lolote na ni Mabingwa wa Seria A msimu uliopita unaisemaje?Uongozi wa simba kuna mda unashangaza sana
Unaenda kufanya pre season kwenye nchi ambayo unajua kabisa ni ngumu sana kupata timu ya maana ya kujipima kwa sababu kubwa ligi haijaisha
Kwanini wasingeenda moroco ambako nako ligi imeisha na wananafasi kubwa sana ya kupata kipimo kizuri kuliko ilivyo misri ambapo ligi inaendelea na ni ngumu kupata kipimo kizuri
Wanaoendesha timu ya simba wakiongozwa na dewji wajifunze kufanya mambo professional waache ujanja ujanja