Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Klabu ya Yanga imecheza mechi ya kujipima nguvu ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya dhidi ya timu ngumu ya Transit Camp na kuibuka na ushindi wa mabao 5 kwa 1.
Magoli ya Yanga yamefungwa na Mayele aliyefunga hat trick ikiwa na hat trick yake ya kwanza katika soka la Tanganyika huku akitetema kwenye mchezo huo uliokuwa na upinzani mkali huku mengine yakifungwa na KI Aziz na Makambo.
NB: HIZI NDIO TIMU NGUMU ZA KUCHEZA NAZO SIO WALE MAKOLO WANAOCHEZA NA WAUZA MAANDAZI KULE MISRI.
YANGA AFIRIKA MBELE MWIKO NYUMA KUNA MWIKO.