Elections 2010 Precedent ya 2015 haifai 2020? Siasa hazina mvuto?

Elections 2010 Precedent ya 2015 haifai 2020? Siasa hazina mvuto?

Mshiiri

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
2,012
Reaction score
512
Wadau kwa tathmini huru ya mwenendo wa siasa kuanzia 2014 hadi tukielekea 2020 tunaona yafuatayo
1. Wananchi are not elastic towards politics na hii imechangiwa na kazi nyingi -- hapa kazi tu na hivyo kutokuwa na mvuto kwenye siasa. Hii imeathiri sana kuona ushabiki na undakindaki dhidi ya siasa kwa wananchi wa kawaida. Siasa imebaki kwa viongozi na wale wote wenye mahusiano moja kwa moja na vyama kwa maana ya kwamba aidha vyama vinawahitaji katika shughuli zake za kila siku. Madhara yake yamedhihirika kwenye chaguzi ndogo ambapo the wananchi hawakujiandikisha wala kupiga kura kwa idadi inayoridhisha na wala hakukuwa na mshawasha wowote. Kibaya zaidi wala the wananchi hawajutii suala hili. Sasa tukienda 2020 uchaguzi mkuu je, wanasiasa watawezaje kuamsha ari ya the wananchi washiriki siasa?
2. Hatua kubwa kiuchumi imepigwa BUT the wananchi bado hawajaona effect yake katika maisha yao ya kawaida kwa kuwa bado ROI haijafikiwa na miradi mingi ipo katika utekelezaji na sasa wanatafsiri kuwa pengine maisha yanazidi na yatazidi kuwa magumu ingawaje wanafanya kazi kweli kweli. Siasa inakuwa kwao kama stori za kijiweni na kuwapotezea muda kuzalisha kwa ajili ya maisha yao ya kila siku.

Mbinu gani itachezwa ili kuwafanya wananchi wacheze siasa kama 2015?
 
Watz wanazidiwa akili na wamalawi pamoja na kusomeshwa namba kufilisiwa nk watakosea tena.Ule moshi wa mwenge sijui nyerere aliweka nn
 
Una maana gani unaposema hatua kubwa imepigwa kiuchumi ?
 
Una maana gani unaposema hatua kubwa imepigwa kiuchumi ?
Miradi mikubwa tumedhubutu kuigusa. Miradi itakayotikisa uchumi wa nchi kwa karne zijazo; Stiglers Gorge, SGR, Road networks, education, health, fiscal policy (incl tax collection success stories) etc.
 
Miradi mikubwa tumedhubutu kuigusa. Miradi itakayotikisa uchumi wa nchi kwa karne zijazo; Stiglers Gorge, SGR, Road networks, education, health, fiscal policy (incl tax collection success stories) etc.
Miradi mikubwa siyo kipimo cha kukua kwa uchumi kama miradi hiyo haijaanza kurudisha pesa ambayo inatumika kuifanikisha hiyo miradi. Kibaya zaidi ni kwamba miradi hiyo imetokana na deni kubwa la nje ambalo ni mzigo mkubwa kwa uchumi. Utasemaje uchumi umekuwa mkubwa ?
 
Back
Top Bottom