Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa ya chura ni kelele...aliewaita vyura hakukosea...pambafu zenu...๐๐Corazone katoka
Simba wanajisikiaje team iliyofungwa 7 na Jkt wao Wana struggle kupata magoli ilihali walipaswa kuwa comfortable
Yani upo kuangalia mademu tuu kuangalia mechi aaah๐๐๐คฃ๐คฃShikangwa ni wife material ๐
Hamia Simba tukuozeshe binti yetu...Kwangu hili limekuwa sugu sana yani ni mapaja mwanzo mwisho imagine precious dk za mwisho kakosa goli akalala kifo Cha mende si makusudi hayo!
Usiangalie sana mpira changanya na vidude dude hapa najiandaa kuangalia final upande wa Jkt namuangalia stumai ni ka beauty sana upande wa Yanga Sylivia japo huwa anatoa Boko kiasiMpira wa wanawake bongo ni hauvutii kabisa aisee.
๐๐๐๐Sana na ana strength pia rangi yake inavutia shida za Elizabeth ni jina la mother Sasa huwa naishia kuwaheshimu tu
Ngoja tuone...mwaka jana jkt walisema walipokwa ushindi wao...Ni time Sasa final wanawake Jkt vs yanga ila karata yangu naweka sana kwa Jkt Wana vitoto wamevipa ajira vina moto hatari
Kama huu ni utani basi nadhani umepitiliza. Tuwe na heshima kwa haiba ya watu wengine hawa unaowaita hayo majina ni dada, wadogo wa watu wengine kama wewe.Wale Yanga sio princess, yale ni majangili, maharamia, magaidi.
Kuna mmoja alikuwa fundi mechanic pale Mabibo, unamkuta kachafuka oil chafu
Umekaa na bikini yako kimoja tu chaliiWanawake wa kazi kazini
Rebeca Ajimuda -kasababisha kona
Silvia Thomas -kapiga kona
Agness Palangyo -kafunga goli la kwanza
Rita Akarekor -kachomoa penati
Wametosha kuikalisha Simba ukiondoa yule forward waliekua wanamkaba watatu watatu
Gemu saa ngapi leo tuwakalishe hao JKT?
Tausi kala ngapi leoKipa wa ceasia anamzidi Camara uwezo
Tausi abdalah