Precision Air acheni kunyanyasa abiria wa Mtwara

Precision Air acheni kunyanyasa abiria wa Mtwara

Kamura

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
507
Reaction score
52
Kampuni ya Ndege ya Precision Air ina wanyanyasa abiria wa wanaokwenda mkoa wa Mtwara. Hii nimeishuhudia mwenyewe leo abiria hao ambao walikuwa waondoke saa tatu (3) asubuhi matokeo yake wakaambiwa wataondoka saa 9 mchana mara saa 10:30 na matokeo yake wakaambiwa hakuna usafiri na kupewa vyumba katika Hoteli ya TANSOMA. Ukiacha abiria wa leo hata jana hali ilikuwa hivyohivyo ingawa abiria wa jana waliondoka jioni badala ya asubuhi. Kama route ya Mtwara hailipi ifuteni ili abiria watafute usafiri mbadala.
 
Michael Ngaleku Shirima sijui kama anayajua haya yanayoendelea kwenye kampuni yake
 
Michael Ngaleku Shirima sijui kama anayajua haya yanayoendelea kwenye kampuni yake pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom