Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,974
Kama kawa kama dawa ndo bongo hiyo ubabaishaji mtindo mmoja na wanajua hatuna tabia ya kuwadai fidia kwa usumbufu wanaotusababishia...
Hawa jamaa operations dept Yao inahitaji overhaul. Hovyo kabisa
Tunachotakiwa kufanya sasa ni kuwa watata, ukiwafungulia mashtaka ya kukuchelewesha na kukuingízia hasara kutokana na kukuchelewesha akili zitaanza kuwakaa sawa..
Kama kawa kama dawa ndo bongo hiyo ubabaishaji mtindo mmoja na wanajua hatuna tabia ya kuwadai fidia kwa usumbufu wanaotusababishia...
Bora hiyo hao jamaa ni wa ajabu sana kuna siku naikumbuka ndege haikuwepo kabisaa then no apology no what hadi kesho yake yaani hizi local carrier zina matatizo sana,Sasa mi nishawazoea,kuna siku toka Mwz-JRO Tulitakiwa kuondoka saa 7,watu tumefika saa 5 mpaka hiyo saa 7 kimya,tukawauliza kulikoni hamtangazi chochote,wakadai subirini.Tukasubiri til saa 8 kasorobo wakatangaza tutaondoka saa 8 na nusu,ikapita no tangazo no apology,saa kumi na nusu ndo tunatangaziwa kuingia kwenye ndege,hatukupewa hata maji wala kuombwa samahani.