Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,974
"Tunapenda kuwatangazia abiria wote waendao Mwanza kuwa ndege yetu itaondoka saa moja kamili. Hii Ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu"
Ndo tulivyotangaziwa hapa airport sasa hivi wakati safari Ni saa 12 kamili. Hebu fikiria umelazimika kukodi taxi ya fastrack na umelipa zaidi ili ufike airport 11 kamili unakutana na huu ujinga. Sauda Rajabu Ni hangs la kitaifa