Risk taker
Member
- Jan 20, 2009
- 35
- 0
Ndege ya Precision air Boeing 737-300 ina hitilafu na hairuhusiwi kuruka kwa siku sita sasa.Kufuatia pigo hilo, precision wamekuwa wakihaha kuhusu safari zake za Nairobi na Mwanza ambazo zilikuwa zinafanywa na ndege hiyo