Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Ndugu wana jamvi,
Kwa mujibu wa tangazo la Precisionair walilotoa katika gazeti la Nipashe la tarehe 10/03/2011, ukurasa wa kwanza, nauli za Dar Mwanza ni shilingi 100,000 (laki moja) kwa ndege zao, kwenda na kurudi pamoja na kodi. Ila pembeni wameandika "Masharti na Vigezo Kuzingatiwa". Sijajua masharti yao ni yapi.
Je mliosafiri na PA kwa wiki jana kwenda na kurudi Mwanza, hii ndo nauli yao mpya kweli kama ilivyotangazwa?