Bei za ndege (mpya, zilizotumika au kukopdishwa (leasing)) unaweza kupata kutoka kwa watengenezaji au mawakala wao kutegemea aina ya ndege unayoitaka. Kwa hali ya kawaida unahitaji pia uwe na mtaji wa uendeshaji (operating capital) wa kama miezi sita hivi kwa ajili ya kulipa mishahara, mafuta, landing fees, n.k. Kuna gharama za ukaguzi na usajili wa ndani na kimataifa. Ni watu wachache wanaoweza kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa ndege kwa mitaji binafsi. Vinginevyo lazima utafute external financing kwa kupata mkopo, kukodisha ndege au hata kuuza hisa za kampuni. Kazi kwako.