alas!
kumbe hivyo ndio 'vigezo na masharti'? Wizi mtupu, na hivyo kumi ukute wamewekea ndugu na jamaa zao
Mh, kuna mtu atapanda basi kweli? Hivi mafita ya ndege yenyewe hayapandi bei?
umejuaje
hivyo viti vinauzwa na wauza tkt.ukifika wankwambia vimeshauzwa hasa wale mabinti wa airport..baada ya muda ukijifanya kuondoka wanakufwata vijana fulan wanakwambia umekosa siti..ukiwaeleza wanakwambia subiri kwenye hiyo 100,000 wanaongeza 25,000-30,000..wizi mtupu panden 540 kwa raha zao....na gudnyuzi kuna kampuni ya jet link kutoka kenya imeshasajiliwa dar inaanza april mwanzon ama mwishon inaleta f28-3 mbili kwa mwanza jro,na nyingine kwa kigooma tabora.....tunaitaj kuwa na kampuni nyingi kupunguza uhuni wa bei kama tunaenda loliondo
Asante kwa habari hizo njema man. Inatakiwa kampuni ziwe nyingi ili zishindane na zipunguze bei, kama ilivyo kwa kampuni za simu!
Ulilonena ni la maana sana kwanza 540 wana ndege nzuri sana kuliko PA na huduma bomba mno, ila wamezidi kupiga vimini wale wahudumu wao
Hayo makanyaboya ya PA hayafai, utadhani hulipi au umepanda la JW!
540 ndo nzuri kwa sasa ingawa huduma za Local flight TZ bado kabisa, kuna ubwanyenye mwingi sana.
But this is a big opportunity for opportunists, the problem ukianzisha huduma ya usafiri wa ndege, utapigwa vita hadi ukimbie kama Community Airline ilivyohujumiwa.
Mimi niliwahi kusafiria kwa Tsh 98,000 one way ilikuwa promo,Ndugu wana jamvi,
Kwa mujibu wa tangazo la Precisionair walilotoa katika gazeti la Nipashe la tarehe 10/03/2011, ukurasa wa kwanza, nauli za Dar Mwanza ni shilingi 100,000 (laki moja) kwa ndege zao, kwenda na kurudi pamoja na kodi. Ila pembeni wameandika "Masharti na Vigezo Kuzingatiwa". Sijajua masharti yao ni yapi.
Je mliosafiri na PA kwa wiki jana kwenda na kurudi Mwanza, hii ndo nauli yao mpya kweli kama ilivyotangazwa?
Kama una maana kuinunua ndege hiyo si gharama ni bei. Gharama ni za uendeshaji wa ndege (nikiwa na maana ya kuihudumia ndege na siyo kuwa rubani).Hivi gharama ya ndege za kawaida kama hizo za PA inaweza kufika shilingi ngapi mpaka kuiweka 'angani'?