Ruge Opinion
JF-Expert Member
- Mar 22, 2006
- 1,838
- 705
ATCL ni mfu wa siku nyingi hata kabla ya kuwepo Precision. Iliuawa na stupid management na political interference. Yupo mtu anaitwa Dr. Kaunda ndiye alishinikiza kuingia "ubia" na South African Airways ambayo iliifyonza kabisa ATCL na kuiacha kasha tupu. Siku hizi simsikii huenda yuko SAA anakula bakhshishi yake.Hawa jamaa wametuibia muda mrefu na wamechaigia kuifisadi ATCL ili wabaki peke yao, labda kwa bei hii wataturudishia ka-faida kidogo.
Kama una maana kuinunua ndege hiyo si gharama ni bei. Gharama ni za uendeshaji wa ndege (nikiwa na maana ya kuihudumia ndege na siyo kuwa rubani).
Community Airline ilihujumiwa vipi? Mwenyewe aliianzisha akiwa waziri akitegemea kutumia influence yake. Baada ya kutupwa nje ya Baraza na kampuni ikawa kwenye mawe. Nasikia neno "Ufisadi"?????Hayo makanyaboya ya PA hayafai, utadhani hulipi au umepanda la JW!
540 ndo nzuri kwa sasa ingawa huduma za Local flight TZ bado kabisa, kuna ubwanyenye mwingi sana.
But this is a big opportunity for opportunists, the problem ukianzisha huduma ya usafiri wa ndege, utapigwa vita hadi ukimbie kama Community Airline ilivyohujumiwa.
Bei za ndege (mpya, zilizotumika au kukopdishwa (leasing)) unaweza kupata kutoka kwa watengenezaji au mawakala wao kutegemea aina ya ndege unayoitaka. Kwa hali ya kawaida unahitaji pia uwe na mtaji wa uendeshaji (operating capital) wa kama miezi sita hivi kwa ajili ya kulipa mishahara, mafuta, landing fees, n.k. Kuna gharama za ukaguzi na usajili wa ndani na kimataifa. Ni watu wachache wanaoweza kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa ndege kwa mitaji binafsi. Vinginevyo lazima utafute external financing kwa kupata mkopo, kukodisha ndege au hata kuuza hisa za kampuni. Kazi kwako.Bei (price) ni kwa muuzaji, gharama (cost) ni kwa mnunuzi!
Anyway, labda niseme bei na gharama za mwanzo (kwa mantiki yako!). Kama nataka kufanya biashara hiyo ya ndege (kwa kuanzia na ndege moja tu), nitatakiwa kuwa na pesa kiasi gani hadi ninapoanza kufanya safari ya kwanza ya kusafirisha abiria?
Bei za ndege (mpya, zilizotumika au kukopdishwa (leasing)) unaweza kupata kutoka kwa watengenezaji au mawakala wao kutegemea aina ya ndege unayoitaka. Kwa hali ya kawaida unahitaji pia uwe na mtaji wa uendeshaji (operating capital) wa kama miezi sita hivi kwa ajili ya kulipa mishahara, mafuta, landing fees, n.k. Kuna gharama za ukaguzi na usajili wa ndani na kimataifa. Ni watu wachache wanaoweza kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa ndege kwa mitaji binafsi. Vinginevyo lazima utafute external financing kwa kupata mkopo, kukodisha ndege au hata kuuza hisa za kampuni. Kazi kwako.
Mimi ni member wa PAA. Lakini nilituma e mail kwenye web zao lakini hawakunijibu!Hilo nalo neno!
Si ndo biashara yenyewe? Mambo ya customer care!
umejuaje
hivyo viti vinauzwa na wauza tkt.ukifika wankwambia vimeshauzwa hasa wale mabinti wa airport..baada ya muda ukijifanya kuondoka wanakufwata vijana fulan wanakwambia umekosa siti..ukiwaeleza wanakwambia subiri kwenye hiyo 100,000 wanaongeza 25,000-30,000..wizi mtupu panden 540 kwa raha zao....na gudnyuzi kuna kampuni ya jet link kutoka kenya imeshasajiliwa dar inaanza april mwanzon ama mwishon inaleta f28-3 mbili kwa mwanza jro,na nyingine kwa kigooma tabora.....tunaitaj kuwa na kampuni nyingi kupunguza uhuni wa bei kama tunaenda loliondo
Bei za ndege (mpya, zilizotumika au kukopdishwa (leasing)) unaweza kupata kutoka kwa watengenezaji au mawakala wao kutegemea aina ya ndege unayoitaka. Kwa hali ya kawaida unahitaji pia uwe na mtaji wa uendeshaji (operating capital) wa kama miezi sita hivi kwa ajili ya kulipa mishahara, mafuta, landing fees, n.k. Kuna gharama za ukaguzi na usajili wa ndani na kimataifa. Ni watu wachache wanaoweza kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa ndege kwa mitaji binafsi. Vinginevyo lazima utafute external financing kwa kupata mkopo, kukodisha ndege au hata kuuza hisa za kampuni. Kazi kwako.
Yanapanda ila ni kama bei ya mafuta ya taa tu
.....samahani '''worse"" siku moja iliwahi kurudi DSM mara tatu na ndani inapaa na engineer. ni mbovu waletye mpya wasituitie hofu kwa kushusha gharama zao tu.