niko hapa mtwara toka saa mbili na nusu bado hatujaambiwa kuhusu delay ya ndege ya kuelekea dar es salaam,wala nini,mpaka sasa saa nne tupo tuu tunashangaa..! unreliable. mumeniaribia siku duh

Kuna ishu kimeo na operation yao. Wanadaiwa hela za mafuta kwa hiyo supplier wao siku hizi anajaza ndege kama ashapewa cash. La sivyo mtaimba sana nyimbo za Komba hapo uwanja wa ndege. Pole mkuu