Precision air majanga

Precision air majanga

yahyaam

Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
18
Reaction score
3
niko hapa mtwara toka saa mbili na nusu bado hatujaambiwa kuhusu delay ya ndege ya kuelekea dar es salaam,wala nini,mpaka sasa saa nne tupo tuu tunashangaa..! unreliable. mumeniaribia siku duh
 
Hao wameshaelekea kibla, bado kisu cha shingo tu. Tujuze muda utakaoondoka
 
Ndege yao imeishiwa mafuta hivyo kuna mtu katumwa sheli na kidumu kwenda kununua mafuta
 
Hatuwezi kuwasafilisha abiria wa3 toka mtwara subiri ijae tutaondoka tu. Hii ni biashara
 
hamna kitu kama hicho!! usfananishe ndege na dala dala la mbagala mpaka abiria wajae! nomaa
 
niko hapa mtwara toka saa mbili na nusu bado hatujaambiwa kuhusu delay ya ndege ya kuelekea dar es salaam,wala nini,mpaka sasa saa nne tupo tuu tunashangaa..! unreliable. mumeniaribia siku duh

Kuna ishu kimeo na operation yao. Wanadaiwa hela za mafuta kwa hiyo supplier wao siku hizi anajaza ndege kama ashapewa cash. La sivyo mtaimba sana nyimbo za Komba hapo uwanja wa ndege. Pole mkuu
 
Back
Top Bottom