Precision Air versus FastJet, Nani zaidi

VYovyote itakavyokuwa nategemea kuona more aggressive Precion Air.

1. Wanaweza kuboresha huduma zao zaidi zikawa ki VIP yani ukipanda full comfort
2. Wakashusha bei kidogo na kutangaza aggressivelly!!
 
Jana ndege mpya kubwa aina ya AIR BUS imezinduliwa na kampuni ya Fast Jet yenye uwezo wa kubeba abiria 150-200.
Ni jambo zuri na la kusifiwa sana,sasa tatizo ni nauli kati ya makampuni hayo hapo juu. Precision wanatoza zaidi ya Tsh 350,000 safari ya kwenda Mwanza na Kurudi DAR, Wakati Fast JET
ukiwahi kukata ticketi nauli ya kwenda na kurudi ni chini ya Tsh 100,000.
Fast Jet wamezindua safari yao jana na safari rasmi itaanza kesho tarehe 29/11/2012. Kwa tofauti hizo za nauli bishara itakuwaje kwa makampuni hayo? Fast Jet watamudu ushindani au watakuwa kama Community Air Line? Precision ataendelea kupata wateja kama kawaida? Nauli ya mabasi toka Mwz hadi Dar ni Tsh 80,000 kwa kwenda na kurudi na unafika saa nne usiku upande wao kibiashara itakuwaje?

Karibuni wadau tuchanganue changamoto katika technologia ya ya Air Line!
😛lane:

mmmh!!!!!!!!haapo kwenye read apooooooooo!!
 
Tatizo tulilonalo Tanzania ni ukosefu wa waandishi wazuri wa mambo ya biashara. Ukisoma comments za watu wengi hapa ni wazi bado hawaelewi business model ya FastJet. Hii ni low-carrier/no-frills.

Kwa wale wanaolinganisha FastJet na Community air- sio sahihi kabisa. Anthony Diallo didn't do his homework properly kabla ya kuanza hiyo biashara and most crucially, hakuwa na experience kwenye aviation industry.

Founder wa FastJest - Sir Stelios- ni guru wa hizi low carrier. Yeye mwenyewe (Sir Stelios) ameenda shule - ya kueleweka. He is very good kwenye Finance na ana experience sana kwenye aviation industry. Tukumbuke huyu bwana ndiye alianzisha Easyjet. Sasa hivi Easyjest wana wanaenda zaidi ya nchi 30! Kwa mwaka mmoja tu EasyJet anasafirisha si chini ya 50 million passengers!

Pia Easyjet wako listed kwenye London Stock Exchange. Hana magumashi huyu bwana. FastJet itatumia business model hiyo hiyo ya EasyJet - no frills. Hakuna mambo ya juice -juice na vimikate au sijui vikorosho vya bure, kama unataka kula unalipa! Na pia ana very 'lean' administration. Wateja wanakuwa encouraged ku-book flight kupitia website au hata simu. Hii inapunguza gharama za uendeshaji - ambazo mwisho wa siku zinaishia kwa mteja!

Jambo jingine, FastJet kama ilivyo EasyJet, mteja anapata unafuu kwenye bei kama uta-book mapema. Kuna peak & off-peak prices. Mfano mtu anayesafiri saa 4 asubuhi anaweza kulipa zaidi kuliko anayesafiri saa 12 jioni, hata kama watasafiri siku hiyo hiyo. Uzuri ukifanya booking kupitia website yao unapata options nyingi (including bei/time dates). Pengine hii itatusaidia sisi Watanzania kuwa more organised - kupanga ratiba mapema badala ya kuishi kwa mtindo wa zima moto!

Kwa wale wanaosubiri FastJet wafe kifo cha Community air, waandike maamuvu. Kwanza tuone jinsi huyu Sir Stelios alivyoingia kwenye soko. Ameanza East Africa - specifically Tanzania - kwa kununua shares zote za 540. That means amenunua routes/customer base yote ya 540! (market entry). Badala ya kuweka base Nairobi - yeye kaja moja kwa moja Dar. why? Kwa sababu Bongo ndio kuna UKAME zaidi wa usafiri wa anga. Kenya wana Kenya Airways. Hapa bongo ni Prescion na mdundiko wake wa delays!

Kenya Airways waliposikia huyu FastJest inakuja (na wanajua fujo za Sir Stelios) walianza low-cost service - haraka. Leseni ya low-cost ilitoka kama miezi 2 hivi iliyopita. Hawakukaa chini na kuongea kama 'Tomaso', badala yake walianza kujiandaa kwa mazingira ya ushindani.

Jambo jingine, FastJet inaonekana ku-concentrate kwenye routes za kwenye natural resources. Mipango iliyopo ni kwamba, ataanza na Tanzania, Kenya & Ugana, lakini baadae ataongeza routes Angola, Ghana etc. Sijui Community air alikuwa na mipango gani?

How about Air Tanzania.

Sasa hivi Tanzania imeshaingia kwenye ukurasa wa nchi zenye gas, uranium na madini mengine. Big boys wako mjini. Serikali kuendelea kufanya biashara itatugharimu. Air Tanzania bado inaendeshwa na wanasiasa! Mkurugenzi anateuliwa na rais, tena bila interview yoyote! So far hakuna la maana linaloendelea na ujio wa wazee wa kazi kama FastJet unahitaji new thinking toka serikalini.

Kwa mtazamo wangu, Air Tanzania ivunjwe (kabisa), na kuundwa shirika jipya. Serikali iwe ni shareholder lakini wawepo wanahisa wengine. Mambo ya presidential appintee yaishe. Mkurugenzi/wakurugenzi wapatikane kupitia njia za ushindani. Tofauti na hapo, Dr Mwakyembe afunge office za ATCL, na aelekeze hela kuboresha viwanja vya ndege ili wazee wa kazi warushe ndege, na kama kuna change aboreshe usafiri wa Train.

And to the old bag - Precision air

Your time is up, review your business model -haraka. Bad mouthing is not a business model! Mtindo wa kuacha wateja airport wakipiga miayo siku nzima ukome. Even as we speak fungua websites za Precision na FastJet and you will see the difference! FastJet, naweza ku-book flight sasa hivi na nikapata jibu including muda wa kulipia. Lakini Precision website, hata kufunguka ni shida tupu!

Karibuni sana FastJet.
FJM-FastJet Manager, upo idara gani mkuu? Marketing au sales. Hadi sasa mnandege ngap?
 
[h=5]"We've just completed our first weekend of operations, with 100% of departures on schedule. Make sure you arrive at the check-in desks early!"[/h][h=2]Fastjet - Africa's low-cost airline...book early for the best prices: How to Book Online - Fastjet[/h]Welcome aboard!
 
  • Thanks
Reactions: CPA
Inanikumbusha EasyJet na Ryanair huko kwenye nchi za wenzetu, haya ndio mapinduzi ya anga yanayotakiwa

umenikumbusha mbali, na pamoja na jeuri ya Ryanair, bado makampuni mengi ya nchi za Ulaya na hata Ireland bado yanaendelea na biashara, na treni na mabasi(coaches) zinadunda mdundo mmoja, msiwe na shaka enyi Watz. Precision wataendelea na watatengeneza faida kama kawaida na Air Tanzania nayo ikitaka itabaki na ushindani bado
 
Inanikumbusha EasyJet na Ryanair huko kwenye nchi za wenzetu, haya ndio mapinduzi ya anga yanayotakiwa

wanaomiliki EASYJET huko Europe ndio wasimamizi wa FASTJET hapa bongo. ni kweli hii ndio kampuni ya ndege yenye gharama nafuu hapa bongo kwa wale tunaowahi kufanya booking mapema lakini charges za mizigo, vinywaji na vyakula inakuwa excluded kwenye hiyo fare
 
Ha ha ha, wamekuja qatar airways, emirates na sasa hivi turkish airlines ana brand new flights za kumwaga na anapeleka flights destinations kibao north america lakini bado KLM anakimbiza na ndege zake za kizamani na wahudumu wake wa kidutch wanaongea kidutch muda mwingi without customer care ya kueleweka na ticket yake inacheza karibia usd 3000 mpaka chicago, ohio etc, wakati hao wengine price ni chini..

I am sure hata fast jet aweke bure bei ni ngumu kumuondoa precision..

Nimebahatika kutembea tembea kidogo sehem tofauti, nimetumia qatar, emirates,KLM na my last trip nilitumia turkish airline baada ya kukosa ticket ya KLM kwenda IOWA..

Huduma niliyoiona kwenye Turkish sijawahi kuona katika airline zote hizo juu.. Ndege changa na za kisasa.. Wahudumu wa ukweli kila baada ya dakika kazaa unaguswa bega msos.. Yaani full raha.. Nikashangaa inakuaje KLM ameshika soko la north america na huduma zake mbovu.. Usipo book mapema unaambiwa ndege imejaa wakati turkish, qatar, kwa bei nafuu wana huduma nzuri lakini ndege hawajazi

Nikagundua sometimes Experience ina play part katika business.. KLM anafanya biashara na ndege zake zinajaa sababu ya experience.. Na hata precision ata survive kwa njia hiyo na sitashangaa Fast Jet akipotea na kumwacha precision on market..
 
Naungana na wewe ni kweli katika biashara za ushindani lazima kuwe na market segmentantion,Precission air ataendelea kubaki kwenye soko na wateja wake na Fastjet itachukua wale wateja ambao walikuwa awana uwezo wa kupanda precission air,nakumbuka kipindi gulfair wakiwa na nauli zao za chini watu walikimbilia kupanda lakini pia hata mashirika mengine ya ndege yalikuwa ayakosi abiria,Swiss air inapoenda Amsterdam inajaa sana japo kuna Ethiopean airline ambayo ni cheap pia kwenda Europe but tunangalia Ubora na uzoefu sio urahisi.
 
Si dani kama mwisho wa Precision air umefika,wateja precision awataondoka haraka kwenda fastjet,fastjet itapata wateja wengi ambao awawezi kununua ticket za precision,hapa ni mtu atachagua napenda kusafiri na usafiri upi,but all in all Precision air ataendelea kubaki kwenye soko.
 
Ha ha ha, wamekuja qatar airways, emirates na sasa hivi turkish airlines ana brand new flights za kumwaga na anapeleka flights destinations kibao north america lakini bado KLM anakimbiza na ndege zake za kizamani na wahudumu wake wa kidutch wanaongea kidutch muda mwingi without customer care ya kueleweka na ticket yake inacheza karibia usd 3000 mpaka chicago, ohio etc, wakati hao wengine price ni chini..

I am sure hata fast jet aweke bure bei ni ngumu kumuondoa precision..

Nimebahatika kutembea tembea kidogo sehem tofauti, nimetumia qatar, emirates,KLM na my last trip nilitumia turkish airline baada ya kukosa ticket ya KLM kwenda IOWA..

Huduma niliyoiona kwenye Turkish sijawahi kuona katika airline zote hizo juu.. Ndege changa na za kisasa.. Wahudumu wa ukweli kila baada ya dakika kazaa unaguswa bega msos.. Yaani full raha.. Nikashangaa inakuaje KLM ameshika soko la north america na huduma zake mbovu.. Usipo book mapema unaambiwa ndege imejaa wakati turkish, qatar, kwa bei nafuu wana huduma nzuri lakini ndege hawajazi

Nikagundua sometimes Experience ina play part katika business.. KLM anafanya biashara na ndege zake zinajaa sababu ya experience.. Na hata precision ata survive kwa njia hiyo na sitashangaa Fast Jet akipotea na kumwacha precision on market..
Una akili sana,na sio tu ni mkata kiu,bali pia ni mkata ngebe.

Ni mapema sana na sio sahihi kulinganisha Precision na Fast jet.Wengi humu tunaielewa precision kwa sababu ya umri wake na tabu zake za balehe lakini hatuwezi kusema hivyo kwa Fast jet. Tunapaswa kusubiri muda wa mwaka mmoja hivi ndio tupige vigelegele na kuishabikia Fast jet.Habari ya nauli wala sio kigezo cha ulinganifu (marketing point of view).Subirini Fast jet ibalehe.
 
Ha ha ha, wamekuja qatar airways, emirates na sasa hivi turkish airlines ana brand new flights za kumwaga na anapeleka flights destinations kibao north america lakini bado KLM anakimbiza na ndege zake za kizamani na wahudumu wake wa kidutch wanaongea kidutch muda mwingi without customer care ya kueleweka na ticket yake inacheza karibia usd 3000 mpaka chicago, ohio etc, wakati hao wengine price ni chini..

I am sure hata fast jet aweke bure bei ni ngumu kumuondoa precision..

Nimebahatika kutembea tembea kidogo sehem tofauti, nimetumia qatar, emirates,KLM na my last trip nilitumia turkish airline baada ya kukosa ticket ya KLM kwenda IOWA..

Huduma niliyoiona kwenye Turkish sijawahi kuona katika airline zote hizo juu.. Ndege changa na za kisasa.. Wahudumu wa ukweli kila baada ya dakika kazaa unaguswa bega msos.. Yaani full raha.. Nikashangaa inakuaje KLM ameshika soko la north america na huduma zake mbovu.. Usipo book mapema unaambiwa ndege imejaa wakati turkish, qatar, kwa bei nafuu wana huduma nzuri lakini ndege hawajazi

Nikagundua sometimes Experience ina play part katika business.. KLM anafanya biashara na ndege zake zinajaa sababu ya experience.. Na hata precision ata survive kwa njia hiyo na sitashangaa Fast Jet akipotea na kumwacha precision on market..

Nakubaliana na wewe kabisa on experience, but one thing you should remember is wapandaji wa ndege sometimes have preferences which is more than just price and experience of the airliners.

Kuna loyality, kwa mfano Asians will prefer to travel with Asian flights, the same to Europeans and Americans. The choice of flights also depend on the number of destinations, the more the better. These two cases apply very much to KLM.

So, however much fastjet atatoa competition kwa precision air, since they both pay the same airport service charges like precision, bado they will still have a hard time first to build loyalty, second to increase number of airlines and third the number of destinations. What they are doing now is 'market entry'.

But, bei ya flight zao ikiwa chini sana many people who could not afford to take a flight will do so, which although in a way is good, but this will bring nuisance and most frequent flyers will not like or will become more selective, perhaps.

But under the current business environment, the only way, may be, which could be possible for fastjet to challenge precision air is to have new and fuel efficient flights with atleast a reasonable margin compared to precision air flights. Otherwise, they will operate under loss or somehow whatever the choice they make, precision can afford to conform.

Unfortunately, market environment in Africa is very small, fragile and unreliable not like Europe, perhaps because of low purchasing power and different product mind set. So, anything can happen.
 
I hate KLM cabin crew, they speak dutch language a lot on flights, yaani hawajali wateja kabisa but KLM inayotokea Dar inajaza daily na ujinga wao wote.. Ndege za kiarabu wanajitahid sana especially Emirates and Qatar as wana daily flights to North america via their Hubs in Midle east but hazijazi mara nyingi,, Huyo Turkish airline ni from Europe na ana ndege mpya za kumwaga na Cabin crew watoto wa kituruki si mchezo kwanza wazuri na customer care ya kufa mtu,,, unaguswa bega for msos or drinks kila dakika kama upo harusini, connections Instanbul europe yaani na haichoshi as 8 hours from Dar to turkey and another 8 to chicago and other north america destinations lakini bado haijazi..cheki pia Qatar wanavyojitahidi as 5 star airline lakini bado viti vitupu kibao.

Lakini hao KLM na ujinga wao kuanzia ndege za kizamani, Cabin Crew ya Kidutch haina customer care ya kueleweka lakini full time ndege anajaza na Ticket expensive mbaya..

Experience muhim sana kwenye aviations industry na hiyo kitu ndo itamtesa Fast jet ukilinganisha na Precisions..

Nina imani wateja wa precisions watabaki kama zamani na Fast jet nauli yake ya elfu 42 ni story tu.. Nimefika India na kupanda Indi go ambayo ni cheap flights huko, USA, South africa etc, sijawai kuona ticket ya local flights ya USD 20 as anayosema fast jet.. Hiyo kitu hakuna zaidi ya promotion tu lakini hataifuta soon as ni hasara
 
Back
Top Bottom