M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
nilikata ticket ya mwanza dar,toka mwanza ticket ilikuwa inasema ntaondoka saa 3 na nusu usiku,nafika airport wananiambia nilitakiwa niondoke asubh na sio usiku ao tixket yangu ipo brocked kuifungua elfu 50,mh makubwa haya. sasa si watasitisha njia moja hadi nyingine. hawako realible flight ya saa tano wanakutransfer bila kupenda saa kumi na hakuna msosi. mmxuu
kwani fastjet inatumia mafuta ya taa!??
Unafikiri hao fastjet watamaliza miaka miwili? kawaida ya wazungu kuu mashirika ya ndani ili muwategemee. Kaangalie hao fastjet kama hata sheria wanafuata? Wafanyakazi wengi wakenya kwenye uongozi, ndege zao mara zipo tz mara Zambia sijui hata kama wafanyakzi wake wana work permit?Kampuni ya Ndege ya Precision Air imesitisha safari za Dar-Mbeya kutokana na route hiyo kuwa ya hasara, na pia kutokana na kutokupatikana mafuta ya ndege katika mji wa mbeya. Hayo yamesemwa Afisa Masoko wa Precision Ndg. Hillary Mremi. Wale wenye tiketi za Precisionza kuanzia mweiwa 6 wanapaswa kwenda ofisi za Precision warudishiwe pesa zao
Source: Daily News ( 30.05.2014)
Hakika Fastjet wamewapa ja.mba jam.ba hawa PW
Unafikiri hao fastjet watamaliza miaka miwili? kawaida ya wazungu kuu mashirika ya ndani ili muwategemee. Kaangalie hao fastjet kama hata sheria wanafuata? Wafanyakazi wengi wakenya kwenye uongozi, ndege zao mara zipo tz mara Zambia sijui hata kama wafanyakzi wake wana work permit?
.....................Unafikiri hao fastjet watamaliza miaka miwili? kawaida ya wazungu kuu mashirika ya ndani ili muwategemee. Kaangalie hao fastjet kama hata sheria wanafuata? Wafanyakazi wengi wakenya kwenye uongozi, ndege zao mara zipo tz mara Zambia sijui hata kama wafanyakzi wake wana work permit?
mh makubwa haya. sasa si watasitisha njia moja hadi nyingine. hawako realible flight ya saa tano wanakutransfer bila kupenda saa kumi na hakuna msosi. mmxuu
Unafikiri hao fastjet watamaliza miaka miwili? kawaida ya wazungu kuu mashirika ya ndani ili muwategemee. Kaangalie hao fastjet kama hata sheria wanafuata? Wafanyakazi wengi wakenya kwenye uongozi, ndege zao mara zipo tz mara Zambia sijui hata kama wafanyakzi wake wana work permit?
kwani kupiga miti ni uchaga..JK aliowateua sehemu kibao ,kwa kuwachapa nao ni uchaga?Wachaga wanayo haki kuwadharau na kuwapita hata mkitangulizwa kwa upendeleo mbele kiasi gani.Hapo precision wameendekeza UCHAGA sana na kama hiyo haitoshi lazima mwanamke UPIGWE MITI na maboss hapo ndo I upate ajira kwa style hiyo usitgemee kampuni ku-perform