Precision Air yasitisha safari za Mbeya

Precision Air yasitisha safari za Mbeya

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Kampuni ya Ndege ya Precision Air imesitisha safari za Dar-Mbeya kutokana na route hiyo kuwa ya hasara, na pia kutokana na kutokupatikana mafuta ya ndege katika mji wa mbeya. Hayo yamesemwa Afisa Masoko wa Precision Ndg. Hillary Mremi. Wale wenye tiketi za Precisionza kuanzia mweiwa 6 wanapaswa kwenda ofisi za Precision warudishiwe pesa zao
Source: Daily News ( 30.05.2014)
Hakika Fastjet wamewapa ja.mba jam.ba hawa PW
 
mh makubwa haya. sasa si watasitisha njia moja hadi nyingine. hawako realible flight ya saa tano wanakutransfer bila kupenda saa kumi na hakuna msosi. mmxuu
 
Dadeki na bado mtaondoka nchi nzima muachekuajili ndugu zenu ambao mnajua ni vilaza, ajilini watu wenye uwezo, mmekaa tu kupeana peana kazi kindugu na kikabila lazima ile kwenu bado bado fastjet wanaendelea kujitanua. na bad news ni kwamba kuna company ingine ya bei rahisi bila mapozi na kufata muda wanakuja kuwekeza tena lazima mpotee kwenye raman
 
Walianza na kutumia ndege ndogo, sasa wanajitoa katika ruti. Wakati wenzao ndio wanafungua ruti mpya, tatizo hilo...
 
mh makubwa haya. sasa si watasitisha njia moja hadi nyingine. hawako realible flight ya saa tano wanakutransfer bila kupenda saa kumi na hakuna msosi. mmxuu
nilikata ticket ya mwanza dar,toka mwanza ticket ilikuwa inasema ntaondoka saa 3 na nusu usiku,nafika airport wananiambia nilitakiwa niondoke asubh na sio usiku ao tixket yangu ipo brocked kuifungua elfu 50,
 
Haha cheza na fitina za KQ?

Huyu mzee alipotea sana kukubali kununuliwa na KQ, bora angeomba hata BA wamnunue.
 
Kuelewa soko linataka nini na kwa wakati gani ni mhimu sana.
Jipangeni vizuri tayari mna jina ondoeni udhaifu msonge mbele,route nyingi kwa sasa mmefunga.
 
Kampuni ya Ndege ya Precision Air imesitisha safari za Dar-Mbeya kutokana na route hiyo kuwa ya hasara, na pia kutokana na kutokupatikana mafuta ya ndege katika mji wa mbeya. Hayo yamesemwa Afisa Masoko wa Precision Ndg. Hillary Mremi. Wale wenye tiketi za Precisionza kuanzia mweiwa 6 wanapaswa kwenda ofisi za Precision warudishiwe pesa zao
Source: Daily News ( 30.05.2014)
Hakika Fastjet wamewapa ja.mba jam.ba hawa PW
Unafikiri hao fastjet watamaliza miaka miwili? kawaida ya wazungu kuu mashirika ya ndani ili muwategemee. Kaangalie hao fastjet kama hata sheria wanafuata? Wafanyakazi wengi wakenya kwenye uongozi, ndege zao mara zipo tz mara Zambia sijui hata kama wafanyakzi wake wana work permit?
 
Unachotaka kusema hasa ni nini?
 
Unafikiri hao fastjet watamaliza miaka miwili? kawaida ya wazungu kuu mashirika ya ndani ili muwategemee. Kaangalie hao fastjet kama hata sheria wanafuata? Wafanyakazi wengi wakenya kwenye uongozi, ndege zao mara zipo tz mara Zambia sijui hata kama wafanyakzi wake wana work permit?
.....................

...........mkuu unakosea tena sana......linapokuja swala la usafiri wa anga hakuna siasa hata kidogo......ni sharia taratibu na kanuni...kama wewe ni msafiri wa aanga wa mara kwa mara urtakumbuka kuna kipindi TCAA waliwafungia ATCL tambua haya yote ni mashirika ya serekali.......PW...fast jet wote wanafanya biashara tambua fast jet ni low cost carrier......kuna taratibu,,,,sharia...kanunu,,,,zinazolinda hii biashara...tambua PW ni purely commercial airline......kama unanisoma hawa jamaa wanatumie two different business model zinazolindwa na sharia.....tambua wengine tunatoka arlanda na low cost air line mpaka Paris....rome...London..kwa dola 15 mpaka 20.................hatuhawai sIKIA WATU WANAFUNGA BUSINSS
 
pw wafunge route zote na bei zao za ajabu. hv unaingiaje ubia na KQ halafu uwe salama?
 
Ndio malipo ya dhulma.
fedha Za wizi mramba alizowekeza procession na kisha kuiua ait tz ili kampuni yake ipate soko Ndio zinajibu.
malipo ya MwenyeziMungu ni hapa hapa duniani .
 
wakabila bhana..tayari wanaanza shangilia bila kujua kuwa ni ishara kuwa jiji la mbeya ni kiporo sana..na linazidi kuwa kiporo..pamoja na kuwekewa airport ya kisaniii
 
mh makubwa haya. sasa si watasitisha njia moja hadi nyingine. hawako realible flight ya saa tano wanakutransfer bila kupenda saa kumi na hakuna msosi. mmxuu

Huonagi wakigawa biskuti za shingi hamsini hamsini name juis za Azam.?
 
Unafikiri hao fastjet watamaliza miaka miwili? kawaida ya wazungu kuu mashirika ya ndani ili muwategemee. Kaangalie hao fastjet kama hata sheria wanafuata? Wafanyakazi wengi wakenya kwenye uongozi, ndege zao mara zipo tz mara Zambia sijui hata kama wafanyakzi wake wana work permit?

Majungu kipaji.... kulaleki wallahi, lazma uwe mchawi uzeeni
 
Hapo precision wameendekeza UCHAGA sana na kama hiyo haitoshi lazima mwanamke UPIGWE MITI na maboss hapo ndo I
upate ajira kwa style hiyo usitgemee kampuni ku-perform
 
Hapo precision wameendekeza UCHAGA sana na kama hiyo haitoshi lazima mwanamke UPIGWE MITI na maboss hapo ndo I upate ajira kwa style hiyo usitgemee kampuni ku-perform
kwani kupiga miti ni uchaga..JK aliowateua sehemu kibao ,kwa kuwachapa nao ni uchaga?Wachaga wanayo haki kuwadharau na kuwapita hata mkitangulizwa kwa upendeleo mbele kiasi gani.
 
Back
Top Bottom