Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
mkirudi mkajichekeshe km komba kuwa mmewashinda wachaga..ndio dira yenu.wachaga dira yao si nyie vilaza..ndio maana hawawapigi vita..wanajua mtashidwa bila kuwadhuru....lini umewahi sikia wachaga wakigoma lipa kodi au kujenga mikoa mingine ingawa wanajua serikali ilishatangaza vita na KILIMANJARO...narudia..wachaga km wayahudi...hamuwezi waua wayahudi kwa kuimaliza israeli..itabidi muue nchi nyingine zote duniani pamoja na ya kwenu ndipo muwamalize.Kuwamaliza wachaga utamaliza ....waswahili na wenzao kwanza kabla ya wachaga...utamaliza kili, ni wazee na watoto na walevi...utamaliza precision halafu nchi ibaki na nini?utammaliza Mrema na mahoteli yake, Laswai na Kibo palace, panone, Mengi.., au nani...utaimaliza dar ili wachaga waliochanganyika wafe..?THE GAME IS BIGGER ON DOG THAN YOU CAN IMAGINE.
Unalia lia bure tu wanaume tumekamata business unawika kama jogoo jike....
Hao unaowasifia ndio mabingwa wa kukwepa kodi....
Tulieni dawa iingie ATCL wananunua ndege mbili...
Fastjet wanazidi kupaa...
Kuna kampuni ya Oman inakuja wekeza kwa mtaji mkubwa na nauli nafuu..
Muda wa kunyonya damu umekwisha mtahangaika sana