Haha...kweli naweza ona A desperation in you..?Pole sana..Jikaze ujiangalie vyema jinsi ulivyo..ujikubali ili ubadilike km kuna kanafi ka kubadilika kamebaki.Sababu hayo makabila yenu ni km Mmefakamia Wisky,Viroba, konyagi etc..za bariki kali na kwa haraka sana.Inapokuja Panda hakuna anayejua itapanda mpaka wapi...?Sasa hivi mkiwa mnapata shule,vinafasi vya upendeleo,wizi etc ..huwa mnaoneka km ndio mnafakamiza kinywaji huku mkifurahi na kuonekana watu wenye nguvu na future...very soon huwa manishia kukaa chini ya minazi na miembe mkipiga hadith za kulogw ana kufanyiwa zengwe.