Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
King'asti uzalendo unakuwa mbele pale unapokuwa practised lakini huu wa precicion umekuwa mgumu nadhani walijisahau..hata hiyo point ya pili uliyoitaja ni kigezo kwa airline- get a better service from pretty hostess with loyalityPole aisee. Uzalendo bwana achana na rwandair. Japo rwandair is really good nisiwapunje. Usikute umevutiwa na wale wahudumu lakini kaka.
; Hivi wana haja gani ya kulazimisha flights kadhaa kwa siku badala tu ya kuamua kuwa kwa siku wataenda Arusha mara mbili n.k. Ni bora abiria wajue kuwa nikikosa flight ya saa mbili asubuhi kuna ya saa nane mchana. Hii tabia yao ya ku-cancell flights inakera sana kwakeliToo many flight cancellation
Too many flight delays
Too many Technical faults on their bigger aircrafts
Watch out Rwandair is coming up!!
Nilikuwa nasafiri na ndege ya asubuhi saa moja ili nifike kia saa baada ya lisaa na dk kama 40 halafu nipande ndege ya kwenda mwanza saa 4 maana ya kutoka dar direct to mwanza zilikuwa zimejaa na nilikuwa na mtoto wa mwaka na miezi 11.Too many flight cancellation
Too many flight delays
Too many Technical faults on their bigger aircrafts
Watch out Rwandair is coming up!!
; Hivi wana haja gani ya kulazimisha flights kadhaa kwa siku badala tu ya kuamua kuwa kwa siku wataenda Arusha mara mbili n.k. Ni bora abiria wajue kuwa nikikosa flight ya saa mbili asubuhi kuna ya saa nane mchana. Hii tabia yao ya ku-cancell flights inakera sana kwakeli
ni bora usemavyo...wamejipa mzigo mkubwa kuliko mgongo yao.kila route wanakamata halafu wanashindwa; Hivi wana haja gani ya kulazimisha flights kadhaa kwa siku badala tu ya kuamua kuwa kwa siku wataenda Arusha mara mbili n.k. Ni bora abiria wajue kuwa nikikosa flight ya saa mbili asubuhi kuna ya saa nane mchana. Hii tabia yao ya ku-cancell flights inakera sana kwakeli
Mkuu hiyo sentensi yako ya mwisho...mhhhhhh!!Waliwaweza Community Airline na ATC kwa fitina za kibiashara lakini jamaa wa fastjet pamoja na kwamba wanatumia ndege moja lakini wamejipanga na ukichanganya ndege yao inabeba abiria mara mbili ya abiria wanaopanda ATR hivyo kinachofanyika Boeing yao inapelekwa sambamba na route ya fastjet zinakuwa zinafukuzana huyu akiruka saa 8.30 na huyu anaruka saa 8.45 mwisho wa siku lazima itaathiri ratiba na ndio maana kwa precision air kwa safari humu ndani jitahidi usifanye booking ndege ile ya jioni kabisa maana utapata usumbufu wa kuondoka Dar saa 4 usiku na Mwanza unaondoka saa 7 usiku maana ndege hiyo hiyo mpaka route za nje ya nchi. But all in all tuwa-support watz wenzetu watabadilika tu
Mkuu hiyo sentensi yako ya mwisho...mhhhhhh!!
Waliwaweza Community Airline na ATC kwa fitina za kibiashara lakini jamaa wa fastjet pamoja na kwamba wanatumia ndege moja lakini wamejipanga na ukichanganya ndege yao inabeba abiria mara mbili ya abiria wanaopanda ATR hivyo kinachofanyika Boeing yao inapelekwa sambamba na route ya fastjet zinakuwa zinafukuzana huyu akiruka saa 8.30 na huyu anaruka saa 8.45 mwisho wa siku lazima itaathiri ratiba na ndio maana kwa precision air kwa safari humu ndani jitahidi usifanye booking ndege ile ya jioni kabisa maana utapata usumbufu wa kuondoka Dar saa 4 usiku na Mwanza unaondoka saa 7 usiku maana ndege hiyo hiyo mpaka route za nje ya nchi. But all in all tuwa-support watz wenzetu watabadilika tu
Acha hizo wewe tuwasupport mafisadi?