Precision are no longer Precise

Precision are no longer Precise

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,361
Reaction score
2,378
Too many flight cancellation
Too many flight delays
Too many Technical faults on their bigger aircrafts

Watch out Rwandair is coming up!!
 
Pole aisee. Uzalendo bwana achana na rwandair. Japo rwandair is really good nisiwapunje. Usikute umevutiwa na wale wahudumu lakini kaka.
King'asti uzalendo unakuwa mbele pale unapokuwa practised lakini huu wa precicion umekuwa mgumu nadhani walijisahau..hata hiyo point ya pili uliyoitaja ni kigezo kwa airline- get a better service from pretty hostess with loyality
 
Last edited by a moderator:
Too many flight cancellation
Too many flight delays
Too many Technical faults on their bigger aircrafts

Watch out Rwandair is coming up!!
; Hivi wana haja gani ya kulazimisha flights kadhaa kwa siku badala tu ya kuamua kuwa kwa siku wataenda Arusha mara mbili n.k. Ni bora abiria wajue kuwa nikikosa flight ya saa mbili asubuhi kuna ya saa nane mchana. Hii tabia yao ya ku-cancell flights inakera sana kwakeli
 
Nilikuwa nasafiri na ndege ya asubuhi saa moja ili nifike kia saa baada ya lisaa na dk kama 40 halafu nipande ndege ya kwenda mwanza saa 4 maana ya kutoka dar direct to mwanza zilikuwa zimejaa na nilikuwa na mtoto wa mwaka na miezi 11.
nikapigiwa simu kuwa wamecancel hadi saa tatu, tukaondoka na ndege ya saa tatu tukafika kia saa tano na dakika 15 while ndege ya kwenda mwana imeondoka saa 4.
tukaa hadi saa kumi ili turudi dar then twende mwanza na ndege ya saa kumi na mbili jion na dk 40.
just imagine mda wote huo while upo na mtoto wwalinibowa sana tena sana
 
; Hivi wana haja gani ya kulazimisha flights kadhaa kwa siku badala tu ya kuamua kuwa kwa siku wataenda Arusha mara mbili n.k. Ni bora abiria wajue kuwa nikikosa flight ya saa mbili asubuhi kuna ya saa nane mchana. Hii tabia yao ya ku-cancell flights inakera sana kwakeli

Waliwaweza Community Airline na ATC kwa fitina za kibiashara lakini jamaa wa fastjet pamoja na kwamba wanatumia ndege moja lakini wamejipanga na ukichanganya ndege yao inabeba abiria mara mbili ya abiria wanaopanda ATR hivyo kinachofanyika Boeing yao inapelekwa sambamba na route ya fastjet zinakuwa zinafukuzana huyu akiruka saa 8.30 na huyu anaruka saa 8.45 mwisho wa siku lazima itaathiri ratiba na ndio maana kwa precision air kwa safari humu ndani jitahidi usifanye booking ndege ile ya jioni kabisa maana utapata usumbufu wa kuondoka Dar saa 4 usiku na Mwanza unaondoka saa 7 usiku maana ndege hiyo hiyo mpaka route za nje ya nchi. But all in all tuwa-support watz wenzetu watabadilika tu
 
ni bora usemavyo...wamejipa mzigo mkubwa kuliko mgongo yao.kila route wanakamata halafu wanashindwa
 
Waliwaweza Community Airline na ATC kwa fitina za kibiashara lakini jamaa wa fastjet pamoja na kwamba wanatumia ndege moja lakini wamejipanga na ukichanganya ndege yao inabeba abiria mara mbili ya abiria wanaopanda ATR hivyo kinachofanyika Boeing yao inapelekwa sambamba na route ya fastjet zinakuwa zinafukuzana huyu akiruka saa 8.30 na huyu anaruka saa 8.45 mwisho wa siku lazima itaathiri ratiba na ndio maana kwa precision air kwa safari humu ndani jitahidi usifanye booking ndege ile ya jioni kabisa maana utapata usumbufu wa kuondoka Dar saa 4 usiku na Mwanza unaondoka saa 7 usiku maana ndege hiyo hiyo mpaka route za nje ya nchi. But all in all tuwa-support watz wenzetu watabadilika tu
Mkuu hiyo sentensi yako ya mwisho...mhhhhhh!!
 
Nimewatia moyo otherwise mie huwa napenda wazee wa nafuu nafuu au enzi zile ATC ilikuwa na ndege za Boeing, huwa sipendi hizi ndege zao ATR safari ya saa 1 na dakika 20 zenyewe zinatumia masaa mawili na robo, ila hawa jamaa wanacheza na vyombo vya habari maana ndege zao mara kibao zinapata technical problem zinaahirisha safari husikii zikizongwa, ngoja sasa ATC habari zinavyojulikana kwa kasi kiasi hata wale ambao huwa hawasafiri na ndege wanakuwa wanaichukia ATCL, mfano mzuri ile ndege ya iliyopoteza mwelekeo pale Mwanza iliandikwa mpaka basi wakati tatizo ukute lilikuwa la uwanja, na the same wao kuna ndege yao iliwahi kupata msala kama huo ilikuwa kimya. Kikubwa wapige route chache na za mafanikio kama alivyochangia MERCIFUL na si kama sasa hivi wanavyofanya
 
Last edited by a moderator:
Waliwaweza Community Airline na ATC kwa fitina za kibiashara lakini jamaa wa fastjet pamoja na kwamba wanatumia ndege moja lakini wamejipanga na ukichanganya ndege yao inabeba abiria mara mbili ya abiria wanaopanda ATR hivyo kinachofanyika Boeing yao inapelekwa sambamba na route ya fastjet zinakuwa zinafukuzana huyu akiruka saa 8.30 na huyu anaruka saa 8.45 mwisho wa siku lazima itaathiri ratiba na ndio maana kwa precision air kwa safari humu ndani jitahidi usifanye booking ndege ile ya jioni kabisa maana utapata usumbufu wa kuondoka Dar saa 4 usiku na Mwanza unaondoka saa 7 usiku maana ndege hiyo hiyo mpaka route za nje ya nchi. But all in all tuwa-support watz wenzetu watabadilika tu

Acha hizo wewe tuwasupport mafisadi?
 
Acha hizo wewe tuwasupport mafisadi?

Si kuna watz wengine adogo wadogo wamenunua hisa zao au vinginevyo tuwashauri wauze hisa zao maana hali ni mbaya kila siku wana cancel na kuunganisha abiria kwani unaeza ukatakiwa kuondoka saa 8 ukaunganisha na wanaoondoka saa 10
 
Back
Top Bottom