Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Kasome Katiba vizuri. Ni haki yangu kusema (right of expression)Sasa siku zote kusema ulikuwa wapi mkuu!
Watanzania likitokea tatizo ndio hupata sababu ya kuongea hiki na kile.
Kwa hiyo uchakavu ndio ulisababisha hali ya hewa kuwa mbaya!?
Kasome Katiba vizuri. Ni haki yangu kusema (right of expression)Sasa siku zote kusema ulikuwa wapi mkuu!
Watanzania likitokea tatizo ndio hupata sababu ya kuongea hiki na kile.
Kwa hiyo uchakavu ndio ulisababisha hali ya hewa kuwa mbaya!?
Haki yako umeisema katika wakati ambao siyo sahihi. Chanzo cha ajali ni hali ya hewa na wala siyo ubovu wa ndegeKasome Katiba vizuri. Ni haki yangu kusema (right of expression)
Haki haina muda dada. Naona umejipa utaalamu wa ndege kwa kujua chanzo cha ajali tayariHaki yako umeisema katika wakati ambao siyo sahihi. Chanzo cha ajali ni hali ya hewa na wala siyo ubovu wa ndege
Hii midude imechoka ni kweli.Ukilinganisha na ATCL nyie vyuma vyenu vimechakaa aisee. Wakati mwingine mnabania mpaka AC yaan pale mwanzoni wakati watu wana-board. Tofauti na ATCL wao huduma nzuri, full rahaa
Kuihujumu pekee mmeaona haitoshi sasa mmeamua kuja kuichafua!Ukilinganisha na ATCL nyie vyuma vyenu vimechakaa aisee. Wakati mwingine mnabania mpaka AC yaan pale mwanzoni wakati watu wana-board na kukaa ndege inakua OFF Tofauti na Ndege nyingine abria waliingia ndege inakua tayari ON na AC zinafanya kazi kitambo.
Ndiyo ni haki yako kusema ila sio haki yako kusema ujinga!!!Kasome Katiba vizuri. Ni haki yangu kusema (right of expression)
Sawa Dada. Samahani nimekukwazaNdiyo ni haki yako kusema ila sio haki yako kusema ujinga!!!
Asante kwa kuelewa mama!!Sawa Dada. Samahani nimekukwaza