Precision ndege zimechokaa!

Precision ndege zimechokaa!

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Ukilinganisha na ATCL nyie vyuma vyenu vimechakaa aisee. Wakati mwingine mnabania mpaka AC yaan pale mwanzoni wakati watu wana-board na kukaa ndege inakua OFF Tofauti na Ndege nyingine abria waliingia ndege inakua tayari ON na AC zinafanya kazi kitambo.
 
Sasa siku zote kusema ulikuwa wapi mkuu!

Watanzania likitokea tatizo ndio hupata sababu ya kuongea hiki na kile.

Kwa hiyo uchakavu ndio ulisababisha hali ya hewa kuwa mbaya!?
 
Kasome Katiba vizuri. Ni haki yangu kusema (right of expression)
 
Hii ajali ni kama vile kuna mashindano ya kuifungulia thd hapa JF.

😀😀😀😀
 
Unaielewa vizuri system na mekanizim ya mfumo wa AC wa ndege mkuu?
 
Ukilinganisha na ATCL nyie vyuma vyenu vimechakaa aisee. Wakati mwingine mnabania mpaka AC yaan pale mwanzoni wakati watu wana-board. Tofauti na ATCL wao huduma nzuri, full rahaa
Hii midude imechoka ni kweli.
Wakati wa take over michuma hadi ina piga kelele...kadhalika landing pia inapiga kelele sana.
Huu ni ukweli mtupu.
Tatizo la Atcl ni huduma za kiswahili sana na ukarimu wa kulazimisha.
 
Ukilinganisha na ATCL nyie vyuma vyenu vimechakaa aisee. Wakati mwingine mnabania mpaka AC yaan pale mwanzoni wakati watu wana-board na kukaa ndege inakua OFF Tofauti na Ndege nyingine abria waliingia ndege inakua tayari ON na AC zinafanya kazi kitambo.
Kuihujumu pekee mmeaona haitoshi sasa mmeamua kuja kuichafua!
 
Back
Top Bottom