Predictions: IGHALO kuwa mchezaji Bora wa AFCON 2019

spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
3,599
Reaction score
3,226
Kutokana na ufungaji wake, anavojiposition na kutoa pass chanya, Ighalo namuona anaweza kuwa mchezaji bora achilia mbali ufungaji bora.
 
Game imeisha: Nigeria 3-2 CAmeroon

Bingwa mtetezi katolewa
 
Ighalo bado sana,kuna akina niang na sadio mane wa senegal,cameroun may be out,but they are one of the most technically and skillfully superior team in africa,nadhani umeona vile wametoa nigeria kamasi hata kama wameshindwa🙁🙁
 
Both cameroun and senegal are the only teams i have seen playing REAL skillfull carpet football.
 
Hawa Nigeria na Cameroon wamewapeleka wachezaji wao wa zamani kutoa hamasa, eti Tanzania tukapeleka wabunge na wanasiasa kina Makonda, ujinga mtupu.
 
Ighalo bado sana,kuna akina niang na sadio mane wa senegal,cameroun may be out,but they are one of the most technically and skillfully superior team in africa,nadhani umeona vile wametoa nigeria kamasi hata kama wameshindwa🙁🙁
Cameroon is officially out of the equation
 
Hawa Nigeria na Cameroon wamewapeleka wachezaji wao wa zamani kutoa hamasa, eti Tanzania tukapeleka wabunge na wanasiasa kina Makonda, ujinga mtupu.
Makosa makubwa ya kiufundi wamefanya
 
Ighalo bado sana,kuna akina niang na sadio mane wa senegal,cameroun may be out,but they are one of the most technically and skillfully superior team in africa,nadhani umeona vile wametoa nigeria kamasi hata kama wameshindwa🙁🙁
Kunta Kinte1776
Harufu ya ufungaji bora kwa Ighalo hiyo
 
Hongera kwake,but iwobi is my man,he has been outstanding throughout the game,mahrez has killed it,LOL that free kick goal is definately GOAL of the tournament.GOLDEN GOAL
 
Back
Top Bottom