Pregnant Ciara Flips Backward In Dance Move

Pregnant Ciara Flips Backward In Dance Move

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
This lady is amazing!

Ciara.jpg
 
Khaaa kwa style hii mtoto lazima atoke na tuvijimbi,maana humo ndani nahisi nae anacheza karate mmmh kazi sana.
 
Mmh jamani hawa wenzetu vp jamani,kama hela ya ugali tayar anayo si basi apumzike kuliko ivyo anavyohatarisha na hayo maisha ya mtt!!!
 
Mmh jamani hawa wenzetu vp jamani,kama hela ya ugali tayar anayo si basi apumzike kuliko ivyo anavyohatarisha na hayo maisha ya mtt!!!

kwa mtu ambae ni mchezaji wa muda mrefu mwili wake ushazoea haina tatizo kwa mtoto,
 
Mmmmmh wajawazito wengine noma..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
kwa mtu ambae ni mchezaji wa muda mrefu mwili wake ushazoea haina tatizo kwa mtoto,

are you a medical doctor?huyu dada anapendaga kuwaonyesha wanaume kuwa yuko flexible hata kitandani,ni sperm monger,keshatiwa maji ya uzazi atulize tumbo nyumbani
 
Back
Top Bottom