Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Kwakua maisha mjini yalizidi kua magumu kulikua hakuna jinsi, tukaona turudi kijijini. Nilimpenda sana mkewangu, nikaona niende kukaa kwa kaka yangu naemfata. Walipendana sana na mke wake. Thanks god walikua wamepata katoto ka kiume baada ya kuishi miaka mitano kwenye ndoa
.mtoto wao alikua anaitwa Jeff, alikua na miaka miwili. Siku moja My bro na mkewe walikua wanaenda mnadani kwani ilikua ni siku ya jumapili, ikabidi waniache nyumbani mimi, mkewangu na motto wao(Jeff).
Ketendo cha kuondoka tu, nilitoa mkeka nje nikamwacha mkewangu jikoni anapika, nakumbika ilikua saa tano na nusu mchana. Nikiwa katika usingizi mtamu wa mchana nilishtushwa na mkewangu akiniita kwenda kula. Nilijivuta mpaka ndani nikaketi kwenye mkeka ili nipate msosi. Tulikula uku tukipiga story na wife mpka Jeff aliposema kashiba anaenda kucheza nje na kitoto cha mbwa ambacho tulikua tumekichukua siku tatu zilizopita. Pale nje tulikua tumeanika mahindi kwajili ya kupata unga, wakati tukiwa tumemaliza kupiga msosi nikawa nanapiga story na wife, pale nje kukaja njiwa wengi sana wakawa wanakula mahindi ndipo nilipo shika mpini wa jembe uliokua pembeni yangu, nikawarushia gafla akakatiza jeff akiwa anakimbizana na kile kitoto cha mbwa mpini wa jembe ukampiga kichwani akaanguka na kukata roho pale pale tulibaki tunatazamana na mke wangu tusijue nini cha kufanya ..nilimchukua Yule motto nikaingia nae ndani na kufunga nyumba kwani hakuna mtu aliyeona kilichotokea baaada ya kama nusu saa tuliona tumweke ndani na Kuwait mpaka usiku ili twende kumzika mstuni kwani bro na mkewake walikua wanarudi kesho yake kwakua walipitia kwa mjomba aliyekua anaumwa sana.
Ilipofika usiku tulienda kumzika na tukasema hakuna kumwambia mtu kuhusu kilichotokea. Ilipofika kesho saa tano asubuhi tukaenda kwa mjumbe kutoa taarifa kua motto wa kaka kapotea, alikua anacheza asubuhi nyumbani then hatujamwona toka mida ile, wakati tunatoka kwa mjumbe, tulikutana na bro na mke wake wakiwa wamebeba nguo nzuri kweli za motto wao ambaye alikua ni kila kitu maishani mwao kwani walimpata baada ya kunywa mitishambia almost miaka mitatu.
Nilimwambia bro jeff katoweka kwenye mazingira ya kutatanisha na tumemtafuta kila kona lakini hatujafanikiwa. Siwezi kusahau siku hiyo, kaka yangu na mke wake walilia sana, mie pia na mke wangu tukawa tunalia kwani tulimpenda sana Jeff na hatukujua mwisho itakuwaje.
Mjumbe aliitisha kikao baada ya siku mbili, ikabidi kuzunguka kijiji kizima, mstuni, kisimani, chooni lakini mwisho wa siku Jeff hakuonekana .ilipita kama wiki mbili nikiwa siongei na kaka kwani alikua hataki ata kuniona, siku zote alikua anasema kwanini nimemuacha mototo mpaka kapotea?
Pale kijijini kulikua na rafiki yangu wa siku nyingi, hakuna kitu nilikua namficha toka utotoni. Siku moja tukiwa tunaenda kuangalia mpira nikaona itakua vizuri nikimwambia ukweli kuhusu ile issue Ili anipe pregnant ideas kwani nilijua ipo siku tu mambo yatajulikana Na Mimi sikutaka yajulikane kwani bro angeweza kuvunja undugu Na Mimi Kama akijua ukweli, nilimwambia rafiki yangu mwanzo mwisho mpaka sehemu tuliyo mzika Yule mtoto .
Sikutegemea maneno aliyonambia, alisema kosa kubwa ni kitendo cha mkewangu kuona kilichotokea na kujua kila kitu. Akanambia womens are pots, full of poison. Akanambia kama nakumbuka sehemu niliyomzika Yule mtoto, nikamwambia nakumbuka, akasema ikifika usiku nimpeleke ye atajua afanye nini .Usiku kwenye saa 7 nilitoka kimya kimya nikamwacha mkewangu usingizini nikaenda kwa jamaa tukaongoza mpaka sehemu tulipomzika jefff. Jamaa ailikua kabeba jembe na alikua kaongoza na Mbwa wake aliyekua anampenda sana. Jamaa akanambia hatuna mda wa kupoteza, tukaanza kuchimba mpka tukafikia ule mwili uliokua unatoa harufi kali sana, tukautoa na kuuweka pembeni ..kipindi iko mi sijuwi jamaa anataka kufanya nini ila nilijua atakua tu na pregnant idea ..gafla jamaa akampush Yule mbwa kwenye shimo na kumfukia mzima mzima ..
Tukatafuta sehemu nyingine mbali kidogo tukaufukia uli mwili uliokua unatoa harufu nzito mno.mida iyo ilikua ni kwenye saa 9 usiku, jamaa akanambia sasa hapa mambo ni shwaaaari
inategeme na comments za watu kama wanaitaji kujua zaidi, i will keep on posting......