Premier bet ichukuliwe hatua

KAKSIGABA

Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
17
Reaction score
8
Kampuni hii inakiuka utaratibu za Michezo ya kubashiri kwa kushindwa kuwalipa wateja wanaoshinda kwa wakati!!! Nimesharipoti Mara kwa Mara kwa bodi ya Michezo ya kubashiri na kubahatisha. Lipeni wateja lasivyo IPO siku tutafikishana pabaya
 
Dah! Nahisi hii kampuni inaelekea ukingoni kama TALA... Maana wamebadili system yao na kuminya mambo mengi sana. Mechi zimepunguzwa na pia faida imekuwa ni kiduchu baada ya kuondoa bonus ambayo ilikuwa inafidia withholding tax...
 
Bonus ile imehamishiwa kwenye idadi ya mechi unazobeti, kadiri unavyozidi kuweka behewa ndio bonus inavyozidi kua kubwa. Kuna Mpaka bonus ya 100% lakini kwa behewa la kuanzia mechi 22 nadhani.

Pili hawa jamaa utaratibu wao ni kua hawalipagi weekend. Huu utaratibu wanao toka wameanza. Na hata kwenye web yao wameeleza wazi. Sijawahi kupata tatizo la kuchelewesha mshiko kwenye week days.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…