Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulishawahama ila lazima watulipe zetuAcha kubeti
Bonus ile imehamishiwa kwenye idadi ya mechi unazobeti, kadiri unavyozidi kuweka behewa ndio bonus inavyozidi kua kubwa. Kuna Mpaka bonus ya 100% lakini kwa behewa la kuanzia mechi 22 nadhani.Dah! Nahisi hii kampuni inaelekea ukingoni kama TALA... Maana wamebadili system yao na kuminya mambo mengi sana. Mechi zimepunguzwa na pia faida imekuwa ni kiduchu baada ya kuondoa bonus ambayo ilikuwa inafidia withholding tax...
Wameshakublock mkuu,wakuu nataka kutoa hela naambiwa hivyo ina maana gani View attachment 1288589
Sent using Jamii Forums mobile app
Sh ngapi ulishindaa?