Jumanne nilishinda mkeka ambazo match zilikuwa ni za saa sita na saa saba lakini cha ajabu mpaka usiku wa jumanne wakawa bado hawajanilipa pesa yangu.
Juzi jumatano nikaingia kwenye web ili niangalie nibet nikakuta wameweka tangazo kuwa kuna marekebisho wanafanya mpaka jioni watakuwa wamemaliza.
Usiku wa jana nikafungua tena web yao nikakuta wamefanya marekebisho yao lakini cha ajabu sijakuta ela niliyokuwa nimeshinda wala hakuna bet history nikakuta tu wameweka bonas ya 1000.
Nahisi wanataka wanitapeli pesa yangu je nifanyaje niweze kupata pesa yangu?
Marekebisho yamekamilika. Kuna pesa nili draw toka jumapili iliyopita, mpaka sasa ni zaidi ya siku kumi sijawahi pata hiyo pesa. Mpaka nimeamua tu kupotezea.
Ila kwa mfumo huh wa sasa ukidraw pesa inatoka hapo hapo. Ya leo nishaivuta fasta.
daah pole sana mkuu mi nilishtuka mapema baada ya kuona web yao inaanza kuzingua nikawithdraw fasta ,na ilikua ela ndefuuu kweli wangenizngua tungefikishana mahakamani kabisa yani