Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
duuuh umetisha kijanaKwa mfano ukikuta mechi yanga vs mikia fc. Then mikia akepewa hand cap 4. Maana yake ni kuwa mikia fc kapewa goli 4 hata kabla mechi hajaanza. Hivyo mechi ikiisha ndroo, au yanga kushinda chini ya goli 4 inamaana mikia atakuwa ameshinda!! Akizidi zaid ya goli NNE yanga atakuwa ameshinda