Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
wadau mnaofanya betting kwenye premier betting nini maana ya handicap 4, 5 na 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuuh umetisha kijanaKwa mfano ukikuta mechi yanga vs mikia fc. Then mikia akepewa hand cap 4. Maana yake ni kuwa mikia fc kapewa goli 4 hata kabla mechi hajaanza. Hivyo mechi ikiisha ndroo, au yanga kushinda chini ya goli 4 inamaana mikia atakuwa ameshinda!! Akizidi zaid ya goli NNE yanga atakuwa ameshinda