DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Baada ya mapumziko ya muda katika michezo ya ngazi ya klabu katika mataifa mengi hasa upande wa Ligi Kuu, Ligi Kuu ya England inatarajiwa kuendelea leo Jumanne Aprili 1, 2025 kwa mechi tatu kupigwa
Timu ya Arsenal ambayo bado inapambania ubingwa ipo nyumbani ikiikaribisha Fulham, Wolves nayo itakuwa mwenyeji wa West Ham United, michezo yote hiyo ikitarajiwa kuanza Saa 3:45 Usiku
Saa 4:00 Usiku, Nottingham Forest ambayo imekuwa ‘yamoto’ msimu huu itaikaribisha Manchester United ambayo imekuwa na msimu wa kuyumbayumba.