DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Man U saizi gari limewakaHawa Man United hata humu JF tukiteuwana tunawafunga.
mimi nikae golini.
Labani og acheze beki.
Scars kiungo nazi kiungo futa namba 10.
ngara23 namba 11 kibaskeli.
OKW BOBAN SUNZU Tanesco mkata umeme namba 6.
Mshana Jr kamati ya ufundi zengwe na roho ya kwanini.
Alafu mama atutangazie kila goli milioni kumi,weee tunawakanda.
Jana bana watu si wakajisahaulisha! 😄😄Man U saizi gari limewaka
Leta Barcelona yako tuwaoneshe kwanini mmekuwa overrated.