Premio au allion?

Premio au allion?

Premio ni nzuri, japo allion ni version ya premio kwa UK nadhani. Asa ukija ktk reality premio ina perfomance nzuri, fuel consumption sio mbaya, ina shape nzuri, stability iko poa kuliko allion, ina room kubwa. So just go for the premio. Na unapokwama usisite kununua Allion kwasababu ni karibia na gari moja tu kwasababu allion utaipata kwa bei nafuu kidogo.
 
Nyie watu bana nini kisababishe utofauti wa unywaj mafuta premio na allion ilihali kila k2 ni sawa?
Mkuu unazidi kunichanganya, tofauti ipo Premio cc1700 na zaidi wakati Allion ni cc1500.
 
Nilichojifunza baina ayo magari ni kuwa premio ni mrithi wa model ya corona na allion amekuja kumrithi carina.
 
Mkuu unazidi kunichanganya, tofauti ipo Premio cc1700 na zaidi wakati Allion ni cc1500.

Mkuu premio toleo la kati na allion zote zina engine zinazofanana, zipo zenye engine za 1NZ-FE cc 1496 kwa allion na premio, pia zipo za engine za 1ZZ cc 1798 zote allion na premio pia zipo za engine za 1-AZ cc 1998 zote allion na premio. Tofauti ya hzo gari mbili ni body shape tu lakin engine na ulaji wa mafuta zinafanana kila kitu gari zote mbele nishawahi kuendesha na nina uzoefu nazo
 
Ahsante sana mkuu. Kwa hivyo kwa maoni yako jamaa anunue ipi kwa vigezo vipi?
 
1200px-2007_Toyota_Allion_01.jpg
 
Ahsante sana mkuu. Kwa hivyo kwa maoni yako jamaa anunue ipi kwa vigezo vipi?

Ni yeye sasa amuue tu anapenda ipi lakn kwa utofauti ni mdogo sana kutegemeana hali ya gari huko inakotoka. Maana mwingine atakuambia premio inakunywa mafuta kumbe anafananisha premio ya cc 1998 vs allion yenye cc 1496 au zote zikawa na cc sawa ila moja imechoka sana nyingine bado mbichi
 
allion lita moja inakimbza mpaka km 24 mkuu pili allion ina cc 1500 kwa maana hyo premio iko juu tu
Allipn A15 in cc 1500, alion A18 ina cc 1800 na allipn A20 ina cc 2000.
Allion gari zuri sana
 
Watu Mna mambo ya ajabu?? Na kama anayo hiyo nyumba afanyaje??akutangazie??punguza ushamba nawe,kama vipi pamda juu ya nyumba ikupeleke unapotaka
Kuna watu ni washamba sana wanafikiri wote waenende kimaisha kama wanavyowaza wao
 
Back
Top Bottom