MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Hata mimi ni Mtanzania..Mimi ni mtanzania, na naunga mkono hoja.
Naunga mkono hoja kwa 100%Hata mimi ni Mtanzania..
Nampongeza sana Rais Kenyatta..
This is man kichwani yupo vizuri..
Ni ngumu sana kwenye this crucial World meetings MADIKTETA kualikwa Jay456watt MK254
Jamaa ana lack International Exposure..jamaa ana hasira sana aisee...hana uelewa wa global issues
dogo MK254 tulia TZ tukipiga chafya EAST , CENTRAL, NA HORN OF AFRICA itapata mafua na maleria juu
Mkuu hakuna tena kitu kama hicho..Hehehe!! Mswahili tulia na uji wako wa ulezi, wewe hapo ulipo kama hulijui, naomba ulijue leo kuna wanaoimiliki hii dunia..... Wakipiga chafya mnashikwa na mafua na homa nyote.
Hivi makinikia na noah kwa kila Mtz mumefikia wapi....
Ila tunamshukuru mama yetu, sometimes anafukia mashimo kwa kumwakilisha...Jamaa ana lack International Exposure..
Hata kwa gafla lets akikutana hapo kwa hapo na Chancellor Angel Merkel wa Germany hawezi kujua aongee nae nini..!!!
Huu ndio ukweli wenyewe..
Because he doesn't know what is the current Global Foreigh Policy talks about..!!
Tanzania tuna kazi kubwa na huyu mtu.
Akili za matope kabisa..Magu ni rais wa tz sio g7! Haendi kokote! Anasafisha nchi kwanza. Big up Dr.
Nimecheka sana Kaka..Ila tunamshukuru mama yetu, sometimes anafukia mashimo kwa kumwakilisha...
Tumwache kwanza aendelee na kazi zake pendwa za uhakiki...
Hivi sasa yuko bize kuhakiki mali za Chama chake ambazo kiukweli ni mali ambazo chama kimewapora Watanzania...
Unaweza kuniambia ni lini Chama kilijenga viwanja vya Sheikh Amri Abeid au Kirumba?
Kila la kheri Uhuru Kenyatta, ukiongea na hao majamaa uwaambie una majirani zako pia wanaohitaji kukumbukwa katika shida na raha.
Nimecheka sana Kaka..
Hapo ulipomuomba Uhuru asaidie kuwasemea majirani zake ambao wapo busy na uhakiki wa mali za CCM.
Jamaa alikulia Ikulu huyo mjuetrue...kenyatta wanamwamini sana...he is very bright
nakubaliana....hii inaweza kuwa sababu...Jamaa alikulia Ikulu huyo mjue
Hawezi kabisa kufanana na mimi na wewe...wa kule.Kuukwepa Ubepari kwa Karne ya Leo ya Technolojia labda tukaishi Jupiter...Kikubwa cheza kama Game of thronesnakubaliana....hii inaweza kuwa sababu...
Si ndo kauli yake? Kuwa yeye ni rais wa Tanzania so wa Dunia kusafirisafiri!! Najaribu kufikiri aloud wakimwita ataenda au atampeleka Mwl. Majaliwa? Au Samia ?Akili za matope kabisa..
Hao wawekezaji anaolilia waje kuwekeza Tanzania watatoka Chato??
Brainless Lunatic.
Fundisheni makufuri kimombo, yeye ni aibu kwa tanzania hawezi toka hapo zaidi ya kwenda rwandaπππUhuru should appoint himself as minister of foreign affairs.
Kazi yake kutangatanga tu!
Halafu akifika uko ulaya analeta deals ovyo za madeni.
He is better off forming C7 (Top 7 corrupt states worldwide) organisation which he will chair.
Pres ana PhD ya kemia wewe unajua kingereza tu manina [emoji38][emoji38][emoji38]...Fundisheni makufuri kimombo, yeye ni aibu kwa tanzania hawezi toka hapo zaidi ya kwenda rwandaπππ
Pres ana PhD ya kemia wewe unajua kingereza tu manina [emoji38][emoji38][emoji38]...
Useless