Pres. Kenyatta leaves for G7 summit

Pres. Kenyatta leaves for G7 summit

jamaa ana hasira sana aisee...hana uelewa wa global issues
Jamaa ana lack International Exposure..
Hata kwa gafla lets say akikutana hapo kwa hapo na Chancellor Angel Merkel wa Germany hawezi kujua aongee nae nini..!!!
Huu ndio ukweli wenyewe..
Because he doesn't know what is the current Global Foreigh Policy talks about..!!
Tanzania tuna kazi kubwa na huyu mtu.
 
Hehehe!! Mswahili tulia na uji wako wa ulezi, wewe hapo ulipo kama hulijui, naomba ulijue leo kuna wanaoimiliki hii dunia..... Wakipiga chafya mnashikwa na mafua na homa nyote.
Hivi makinikia na noah kwa kila Mtz mumefikia wapi....
Mkuu hakuna tena kitu kama hicho..
Ile ni mtu alikuwa anatafuta sifa za kijinga tu..
Barrick hasn't paid a penny up to this juncture..
Ni ndoto kwa sasa.
 
Jamaa ana lack International Exposure..
Hata kwa gafla lets akikutana hapo kwa hapo na Chancellor Angel Merkel wa Germany hawezi kujua aongee nae nini..!!!
Huu ndio ukweli wenyewe..
Because he doesn't know what is the current Global Foreigh Policy talks about..!!
Tanzania tuna kazi kubwa na huyu mtu.
Ila tunamshukuru mama yetu, sometimes anafukia mashimo kwa kumwakilisha...

Tumwache kwanza aendelee na kazi zake pendwa za uhakiki...

Hivi sasa yuko bize kuhakiki mali za Chama chake ambazo kiukweli ni mali ambazo chama kimewapora Watanzania...

Unaweza kuniambia ni lini Chama kilijenga viwanja vya Sheikh Amri Abeid au Kirumba?

Kila la kheri Uhuru Kenyatta, ukiongea na hao majamaa uwaambie una majirani zako pia wanaohitaji kukumbukwa katika shida na raha.
 
Nimecheka sana Kaka..
Hapo ulipomuomba Uhuru asaidie kuwasemea majirani zake ambao wapo busy na uhakiki wa mali za CCM.
 
Pombe na kufuli leaves for chato to open up a brick making factory.
 
Akili za matope kabisa..
Hao wawekezaji anaolilia waje kuwekeza Tanzania watatoka Chato??
Brainless Lunatic.
Si ndo kauli yake? Kuwa yeye ni rais wa Tanzania so wa Dunia kusafirisafiri!! Najaribu kufikiri aloud wakimwita ataenda au atampeleka Mwl. Majaliwa? Au Samia ?
 
Uhuru should appoint himself as minister of foreign affairs.

Kazi yake kutangatanga tu!

Halafu akifika uko ulaya analeta deals ovyo za madeni.

He is better off forming C7 (Top 7 corrupt states worldwide) organisation which he will chair.
 
Fundisheni makufuri kimombo, yeye ni aibu kwa tanzania hawezi toka hapo zaidi ya kwenda rwanda😀😀😀
 
Fundisheni makufuri kimombo, yeye ni aibu kwa tanzania hawezi toka hapo zaidi ya kwenda rwanda😀😀😀
Pres ana PhD ya kemia wewe unajua kingereza tu manina [emoji38][emoji38][emoji38]...
Useless
 
Back
Top Bottom