Pres Obama's Trip to the Muslim World: A New Partnership

Jamani wana Jf mwenzenu sijapaona pa kuanza kutolea maoni yangu bila kwenda ya reply ni wapi.yaani pa kutolea mawazo mapya.Msaada tafadhali
 

Mwawado,

..tatizo ni kama Obama anaweza kuyatekeleza hayo aliyoyasema ktk hotuba.

..binafsi naamini waandishi wa Mkapa walikuwa na uwezo wa wa kuandaa hotuba yenye "viwango" kama hii aliyotoa Obama.
 

Mi nafikiri marekani ni marekani tu ukweli ni kuwa Obama anatumia different approach japokuwa wengi wanafikiri kuwa sasa wademocratic wameamua kutafuta maelewano na dunia isiyoptana nao lakini je Obama yuko tayari kubadili maadili na sera ya kuifanya marekani iwe marekani zilijengwa na watangulizi wake kibao?
 
There is no way you can strike" a balace kwenye jambo kama Obama analotaka kulifanya.

Ameanza? ... na ajiandae kupata blast toka upande mmoja.

.. and any one can guess kichapo gani atakipita?
 
Mwawado,

..tatizo ni kama Obama anaweza kuyatekeleza hayo aliyoyasema ktk hotuba.

..binafsi naamini waandishi wa Mkapa walikuwa na uwezo wa wa kuandaa hotuba yenye "viwango" kama hii aliyotoa Obama.

Wakati mwingine ni delivery tu. O'Bummer hasemi lolote la maana au jipya na wala hana akili kihivyo kama watu wanavyodai anazo. Na wala hotuba zake hazisisimui kihivyo. Ndio, ukimlinganisha yeye na Bush ni wazi O'Bummer ni kidedea.

Hotuba ambazo zilikuwa zimejaa akili na zilizo timeless ni za Martin Luther King Jr. Huyu ndo alikuwa na kipaji. Kama unabisha nenda youtube uangalie au usikilize hizo hotuba halafu uone kama utasisimka au la
 
Nyani Ngabu,

..kuna watu wanaamini hizi hotuba zote zinatoka kichwani mwake--hasomi mahali popote. bado hawajagundua kwamba kuna teleprompter pale.kundi hilo ni kubwa mno, haswa kwetu wa-Tanzania.

..sasa ktk mazingira ya kuamini kwamba, Obama anatoa hotuba zake bila kusoma mahali popote pale, kwanini tushangae watu wanapofikiria kwamba ni Nabii fulani hivi?
 
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=Uxt9HwfPwPo&feature=player_embedded]YouTube - Feeling the Hate In Jerusalem on Eve of Obama's Cairo Address[/ame]
 
I see mostly opinions from drunks and people who are mad simply because he made a trip & a speech to the Muslim world and not Israel.
 
hahaha...kuna watu wajinga humu duniani! Ndo maana viongozi wanaweza kutawala through manipulation of a targetted group. Humans...never seize to amaze me!

And deep down, most wazungu ni racists sana! I see it everyday! Especially wazungu wakilewa wanaanza kuropoka the things they hold deep down inside their hearts. Nadhani ni waoga sana wa races nyingine! - yea...got that one out of my chest!
 

Waisrael wazungu?
 
Nadhani ni waoga sana wa races nyingine! - yea...got that one out of my chest!

Wangekuwa wanaziogopa races nyingine wasingertawala Afrika, Asia, Mashariki ya mbali na mashariki ya kati. Wasingechukua watumwa kwa sababu wangeogopa...wasingetawala kwa mabavu Afrika kusini...kusingekuwa na Apartheid na Jim Crow...yaani hayo yote wangefyata mkia kwa sababu wanaziogopa races nyingine.
 

hahaha. It's the fear that makes them want to dominate others. U suppress the group u fear, au hujui hilo?
 
Waisrael wazungu?

wewe hao unaowaona kwenye video ni waarabu? Huyu msichana aliyeulizwa Netanyau ni nani, huku anadai amesoma Political Science, kama angekuwa mwiisrale kweli asingemjua?
Furthermore, from the few Israels i have met, i would say they are more like wazungu.
 
hahaha. It's the fear that makes them want to dominate others. U suppress the group u fear, au hujui hilo?

That is not fear. Ingekuwa wana fear basi De Clerk asingemwachia Mandela. Wangekuwa wana fear leo hii tusingekuwa na taifa huru (kujitawala wenyewe, sort of). Wangekuwa wana fear Jim Crow ingekuwepo hadi leo hii. Wangekuwa wana fear O'Bummer asingekuwa raisi (kumbuka wazungu have waaay more that enough votes in America to keep the presidency white)....so what's your argument?
 

i never said that all wazungu are racists! I used the word most. U can always pick out of a sample a few individuals who dont fit the trend. De Clerk's point of view was not a common shared view among the wazungu's population in SA. Obama ameshinda urais marekani due to their electoral system. Unajua kapata asilimia ngapi ya total votes? System ya uchaguzi marekani haimaanishi mwenye popular vote ndo mshindi. ndo maana strategy yao ya kampeni ni tofauti. I think he didn;t even get 55% of total votes.
Kama ulifuatilia primaries utaweza kukupunga advertisement ya Clinton. Simu inalia usiku, alafu anauliza who would u rather have picking up the phone. That was meant to play up on the people's fear.
Obama ameshinda kwa sababu it was time for change marekani. There was no way, wangewaachia republicans.
Fear doesnt have to equte to evil conduct my friend, for example, fear of revenge. It can be fear of change in the way people used to live their lives. Ni kama kupinga equal rights for homosexuals. Part of the reason is fear of bringing in that change, and how society will change from then.
Mara nyingi wazungu wanaona kama waafrika wanakuja kuharibu stystem. They think and believe that they know best how to run everything. Ndo maana ni ngumu kwa wewe (as an african) ku-break through katika society yao.
Kama unafuatilia wapinzani wa obama, utaona hii element katika argument yao. Mara hatujaona birth cirtificate yake, blah blah, blah. This fear is eliminated though exposure.

Nikupe mfano mwingine, mara nyingi ukienda katika vijiji afrika na mzungu, utaona watoto wanavyomzunguka na kumpungia. Lakini wewe nenda sehemu ambayo watoto wa kizungu hawajawai ona mwaafrika. Watabaki wanashangaa na kukaa mbali. Do u see the difference hapo? How would u explain that?
 
Yaani tunakaa chini kujadili kavideo ka mayahudi walevi?

All in all hao jews walipewa maagizo na Mungu wakajifanya kupindisha sasa wanakula laana ya mababu zao.

Kuna documentary flani niliwahi kuichek way back BBC, kama 1-2 years back, inaonesha hao jamaa walivyodata na kiwango kikubwa cha raia wake wanasumbuliwa na kiwango kikubwa cha anxiety na stress (dalili za laana). Halafu kuna mob kubwa ya vijana wake kwa waume, waliokimbia jeshi na hata wengine wa kada mbalimbali, wamekwenda mji flani huko India kuishi huko au kukutanika huko na wanasema wao hawataki kusikia ujinga wowote kuhusu Usayuni.
 



sasa nyie ndio munaosema majews holy peOple wa mungu ....lol
imekuwaje tena leo hii wamelaniwa ...duh


mutarudi utumwani bila pingu wala kengele
 
sasa nyie ndio munaosema majews holy peOple wa mungu ....lol
imekuwaje tena leo hii wamelaniwa ...duh

mutarudi utumwani bila pingu wala kengele

Nyie akina nani? Kwani wewe ni mtu wa shetani? Dugu usidandie treni kwa mbele..kama huna la kuongezea kwenye mada, kusoma wanachoandika wengine inaruhusiwa na ni uungwana na ustaarabu.
 
nyie akina nani? Kwani wewe ni mtu wa shetani? Dugu usidandie treni kwa mbele..kama huna la kuongezea kwenye mada, kusoma wanachoandika wengine inaruhusiwa na ni uungwana na ustaarabu.



the truth has come.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…