nafurahi kuona wengi wanajumuika,
To Nyani,
1. Umesema racism is a two way street. "Racism is a two way street. You can't confine me to discussing only white people's racism. Failure!"
Can u please expand on that? Maana at the moment sidhani kama inaleta maana yeyote. Mimi naweza kuwa a racist towards a certain group of people without requiring the same outlook from them towards me. Kwa mfano hapa, utasema Obama ni racist towards wayahudi kwa sababu hawa wayahudi wako racist towards him? If not, what do u mean by a two way street?
2. I said this:
Au nikuandikie kiswahili uelewa kitu ninachojaribu kusema? Maana kwanza hujaelewa kwa nini kufanya mtu awe mtumwa, ni moja ya njia za kuwa-supress kutokana na kuwaogopa. Nadhani ukasoma kwa nini falme katika vita zilikuwa zinachukua watumwa, hasa vijana walio katika stage ya production. Kasome biblia, kuna ample examples za hata wanawake walio katika prime production period kuuwawa au kuchukuliwa utumwani kwa sababu ya kuzuia reproduction. Au wewe kwa sababu uliambiwa wazungu walichukua waafrika kwa kusudi la kulima mashamba ya miwa ndo unaamini....hahahaha! Na ni nani ndo alikwambia hivyo? Sio mzungu huyo? Wacha kuongea pumba!
Ukajibu:
Good Lord Almighty. How about starting with the man in the mirror coz surely I need a translation to understand what you're talking about.Kasome kasome nyiiingi....kama wewe umesoma yote hayo kwa nini usimwage utirio hapa?
kama umeshinda kuelewa, sijui tena. Sidhani kama kuna mtu mwingine aliyepata shida kuelewa. Ask for specific explanation kama hujaelewa nikusaidie, na sio kujifanya mjanja bure!
3. "All those African immigrant communities in Europe and North America, haven't they been welcomed by the Wazungu society?"
Naona wamekaribishwa vizuri sana kwa kupewa haki sawa toka mwanzo na hawakuhitaji civil right movements kwa kusudi la kupata haki sawa.
The rest of what u said ni kuzunguka mbuyu tu!
Nakurudisha katika kiini cha hii debate...Wazungu are racists, as evident in the video kwa kumwita Obama 'nigger'. Swali ni kwa nini? Sababu niliyotoa ni kwa sababu ya a deep lying racist seed inside them. When u leave in fear, u use racism as a form of defence. Wazungu wengi wanatumia hii. Na ndo maana nimesema most are racists.
Hii inatokeaje? Hii inatokana na distrust. Distrust is a form of racism. Unapoonyesha distrust towards a certain group of people that is plain 'cream and vanilla' racism. Unaelewa hilo?
How is this evident katika behaviour ya wazungu? Kwanza kabisa wao wanaonyesha distrust kubwa kwa Waafrika. Umeshasikia kitu kinaitwa 'Bradly effect"? That is an example of the deep lying distrust.
Wao kwenda mwezini, doesn't remove that element of distrust.
Lakini labda tatizo liko kwetu kwa kuwa very trusting. Hii inanirudisha kwenye the point niliyotoa ya wao kuja na kujiita expert bila qualifications. Wazungu wangapi wanazunguka bongo kwa kufanya kazi ambazo hawako qualified? I know quite a few! Hii inatokana na trust kubwa tuliyowapa. Je inatubidi na sisi tujenge hii element ya distrust/racism? Sina jibu ya hilo.
But the fact remains, wewe unapoonyesha distrust towards me, because of my colour, huo ni ubaguzi. Tena wahitaji kupingwa vibaya sana. Na sasa ivi unajengwa wa dini pia. There is a lot of distrust towards Islams. Tukiangalia huu wa waislamu, tunaona unavyojengeka. Je na sisi tulijenga huu wa kwetu na wazungu? Ni sisi ndo tunawafanya wawe racist against us?
to MwanaFalsafa1:
Nasema ni haki yetu kwenda kwao kutafuta maisha kwa sababu tunaishi katika ulimwengu wa globalisation. Obama juzi Cairo alisema "the currency of the 21st century ni elimu na innovation". Kwa hiyo kama wewe una elimu, basi u should be tradable au usable anywhere. Kama currency aka $ ilivyo tradable na usable? Au sio? Usifanye kuogopa ubaguzi. Ni element yao, part of them. Mimi naweza kukaa hapa na nisione mwaafrika yeyote wiki. Hainipi shida. Its part of what i have to deal with. Au sio?
to Geoff:
mimi siwezi kusepa debate yeyote bwana. Tupo hapa kubadilishana mawazo. Au sio?
Kama hamuamini mzungu ni racist, google kitu kinaitwa "the lost generation". Kitu walichowatenda aboriginals nchini Australia. Chekeni nao tu!