Hizo terminologies zimetumiwa na wao, kwa ajili ya kutengeneza classes wakati wao ni wavamizi katika hilo bara. Unajua wazungu wanatumia sana psychological power kuliko physical confrontation. Hii ni moja ya hizo psychological warfare. Hilo neno wameshalifanya common kiasi sisi waafrika kunaliona utumiaje wake kuwa ni kawaida. Mimi siku izi sicheki nao tena! Wanajua ku-twist maneno sana. Kama hiyo video niliyo-post hapo ya Rodney King...sijui kama unajua kilichotokea, lakini polisi hao (wazungu) waliachiwa huru na jury iliyokuwa imejaa wazungu, baada ya kumpiga mwaafrika akiwa yuko chini ya ulinzi! Kitu kilileta riots kubwa sana mjini Los Angeles.
Argument yangu inasema kuwa wazungu wanaonyesha ubaguzi zaidi kuliko makabila mengine yeyote kutokana na woga ulioko ndani kwa ndani, ambao nauita
woga asilia. Wazungu wamejijengea mentality ya wao kuwa superior na hivyo wakiona mtu mweusi anayepanda juu wanaanza kumshusha taratibu. Kwa mfano, kumwita Koffi Annan
"cheeky darkie" akiwa katika position ya General Secretaty wa UN, sio kuonyesha asilia ya ubaguzi?.
BBC NEWS | Asia-Pacific | NZ radio host in Annan race row. (bonyeza hapo maana ni link) Hapa ninatoa facts tu! Bila facts hatuendi mahali, au sio? Leo nawajia na facts! Mjua sio naongea maneno yangu bali yaliyo kweli!
Sawa, races nyingine zipo na ubaguzi, lakini tujiulize kwa nini? Kwa nini mwaafrika mweusi amchukie mzungu? Nadhani hii inatokea as a counter-reaction. Ukiangalia comments nyingi za waafrika walio na maisha mazuri kama P Diddy, LeBron, n.k. baada ya uchaguzi wa Obama, walisema kuwa sasa hivi
kweli wanaweza kuwaambia watoto wao kuwa hapa marekani unaweza kuwa mtu yeyeto (cheo), hata rais. [ame="http://www.youtube.com/watch?v=hbioTWvnqYc"]YouTube - P.Diddy Blog #2
😛.Diddy talks about Obama[/ame] Hii inaonyesha, ijapokuwa na mafanikio yao mengi katika miziki na michezo, mwaafrika bado alikuwa anabaguliwa na kuwekwa kando katika nafasi nyeti za uongozi wa nchi. Hii inatokana na hiyo silika ya ubaguzi iliyo ndani mwao, ya kutoamini waafrika inayochangia woga asilia. Hata Obama ali-refer hii ishu katika speech yake ya Oklahoma, alipoongelea kuwa ijapokuwa bibi yake alimtunza, lakini bado alikuwa anaogapa waafrika. Nawapa quote:
"Obama: I can no more disown him than I can disown the black community. I can no more disown him than I can my white grandmother a woman who helped raise me, a woman who sacrificed again and again for me, a woman who loves me as much as she loves anything in this world, but a woman who once confessed her fear of black men who passed by her on the street, and who on more than one occasion has uttered racial or ethnic stereotypes that made me cringe."
Nadhani hii sasa itakuwa imetinga kwenye vichwa vya watu waliokuwa wanadhani ninapoongelea FEAR ya wazungu nilikuwa natunga tu! Ni kitu kinachojulikana sana, especially kama umeishi na wazungu kwa muda! Wengine tumeichukulia kama ni jambo la kawaida! Lakini wazungu wana WOGA ASILIA unaowafanya wawe wabaguzi.
Nawakilisha!!