Presha 108/70 kwa mjamzito ni sawa

Presha 108/70 kwa mjamzito ni sawa

Neyherman

New Member
Joined
Oct 3, 2018
Posts
4
Reaction score
0
Habari wanaJF eti naomba kuliza kama mjamzito wa miez sita una presha 108/70 jé hii nikawaida au kunatatizo
 
Ni sawa kabisa mkuu... Labda kama ilikuwa ipo juu sana na imeshuka ghafla
 
Haina shida bado ipo kwenye normal range... Kuna dalili zozote unazoziona tofauti
 
Back
Top Bottom