Fafanua vizuri ukisema wanywaji una maanisha wanaonkunywa ngapi kwa kipindi ganiHaimaanishi kwamba wasio kunywa hawawezi kupata hayo magonjwa bali wanaokunywa kuna uwezekano mkubwa, Hata uraiani watu wanaotii sheria wanaweza kuishia jela kwa kubambikiziwa lakini ukiwa muhalifu kuna uwezekano zaidi wa kwenda jela.
Hata wanywaji ni kina baba wenye familia zao,Pombe ndio inayolipa kodi nyingi hapa nchini kuliko bidhaa yoyote,heshimu wanywaji.
Walevi vs wanywajiFafanua vizuri ukisema wanywaji una maanisha wanaonkunywa ngapi kwa kipindi gani
Na uti suguHasa wanaotumia pombe kupitiliza
Haimaanishi kwamba wasio kunywa hawawezi kupata hayo magonjwa bali wanaokunywa kuna uwezekano mkubwa, Hata uraiani watu wanaotii sheria wanaweza kuishia jela kwa kubambikiziwa lakini ukiwa muhalifu kuna uwezekano zaidi wa kwenda jela.
Mi niliachaaa kabisaa nilipotesekaa sana na uti sugar nkaanza kunywa maji na ile dawa yetu pendwa sasa n mpenz wa maziwa mabichi waendelee kulewa tuNa uti sugu
Lakini pia ndiyo inayosababisha gharama kubwa ya matibabu kwa serikali.nadhani wangeongeza kodi mara mbiliPombe ndio inayolipa kodi nyingi hapa nchini kuliko bidhaa yoyote,heshimu wanywaji.
Wanawapiga misukuleee peleken kwaa mwamposaaaaLakini pia ndiyo inayosababisha gharama kubwa ya matibabu kwa serikali.nadhani wangeongeza kodi mara mbili
Pombe na Sigara hili ni eneo la hovyo kabisa kulitegemea kwa kodi za kuendeahsa nchi.maana yake haina tofauti na kutoa kafara.
Sasa hivi kuna hiv vipombe vidogo vidogo kama kama "grip water" au vichupa vya grisaline vinanywewa sana na vijana halafu inaonekana ni bei ndogo sana. Ila pia serikali isengeruhusu viuzwe kwenye maduka ya kawaida ya mitaani
MKUUU UMENENA VYEMA WASAIDIE HAYAHasa wanaotumia pombe kupitiliza
Pombe inachangia kodi nyingi lakini pia tusisahau inasababisha gharama kubwa za matibabu.
Haimaanishi kwamba wasio kunywa hawawezi kupata hayo magonjwa bali wanaokunywa kuna uwezekano mkubwa, Hata uraiani watu wanaotii sheria wanaweza kuishia jela kwa kubambikiziwa lakini ukiwa muhalifu kuna uwezekano zaidi wa kwenda jela.
- Figo kufeli
- mawe kwenye figo
- homa ya ini
- Presha / BP
- Kibofu uti
- n.k.
Kwa huu mwandiko huwezi kulea watoto wangu. Naendelea na pombe wewe endelea na energy drinks na soda zakoTutaleaa watotoo waooo na wakexaoo
Mkuu.ukiwa na akilizakoo timmamu ukapita kavu kufa tuUnaweza usifie kwenye unywaji lakini ukafia Kwenye kidonda cha demu. Kupanga ni kichagua
Tatizo huna nguvu za kiume.Tutaleaa watotoo waooo na wakexaoo
Nakulea mpaka na wewe sembuse mwandiko......Kwa huu mwandiko huwezi kulea watoto wangu. Naendelea na pombe wewe endelea na energy drinks na soda zako
Hili dadako atalijibu ...Tatizo huna nguvu za kiume.